Rais akishamaliza hotuba yake sisi tutabaki Uwanjani kuendelea na sherehe za Muungano

Tarehe 26 April ni siku muhimu sana kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...tutasherehekea sherehe za Muungano like never before..

Rais wetu mpendwa akishamaliza kusema ya kwake pale Uwanja wa Uhuru na kuondoka na viongozi wenzake kwenda kula ubwabwa na mvinyo laini Ikulu...sisi raia wengine kwa makumi maelfu yetu tutabaki hapo hapo uwanjani kuendelea na sherehe za Muungano...

This time we want to celebrate and mark it like never before...We wanna MAKE TANZANIA GREAT AGAIN!

Come Onn People!
Umekosea mkuu

Wazo zuri ni Hili...
Wakati RAIS anaendelea kuongea ya kwake pale UWANJANI sisi tukiongozwa na wewe.. Mange.. Mbowe.. LEMA.. Msigwa n. K tunaongozana kwenda Ikulu kuchukua Ikulu yetu.. Hatuna mchezo katika hili

Tukibakia UWANJANI mbona tutakuwa hatujafanya kitu???? Plsee andaa na wengine bila kusahau vijana WETU mkuu
 
This creativity is awesome
.Kwenye mikoa yoote ,akiondoka RC na vigogo wenziwe, sisi tunaendelea kusherehekea like never before!!! I like it but kile kipisi cha barabara pale Morocco kiliisha? Hahaha. Dr Mange Kimambi
 
Back
Top Bottom