Rais akishamaliza hotuba yake sisi tutabaki Uwanjani kuendelea na sherehe za Muungano

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Tarehe 26 April ni siku muhimu sana kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...tutasherehekea sherehe za Muungano like never before..

Rais wetu mpendwa akishamaliza kusema ya kwake pale Uwanja wa Uhuru na kuondoka na viongozi wenzake kwenda kula ubwabwa na mvinyo laini Ikulu...sisi raia wengine kwa makumi maelfu yetu tutabaki hapo hapo uwanjani kuendelea na sherehe za Muungano...

This time we want to celebrate and mark it like never before...We wanna MAKE TANZANIA GREAT AGAIN!

Come Onn People!
 
You want to make Tanzania Great by celebrating like never before...?

Wacha tuendelee kuburuzwa kwanza.
 
Operation Ukuta mlipiga biti mpaka tukaamini mtajaa Mitaani kwenye Maandamano lakin dakika za Mwisho Mbowe akawastukia ni wasanii akafuta Maandamano

April 26, ni Siku ambayo Mbowe atajiridhisha kabisa hakukosea kufuta Maandamano ya UKUTA
 
ha ha ha, nimeipenda hiyo - tunabakia pale pale siyo!!! ije mvua lije jua.
 
Wana maanadamano tutakuwa na utaratibu wa kupeleka vyakula na wanaoenda nyumbani Mara moja watakwenda
 
Back
Top Bottom