Rais ajaye awe na sifa zifuatazo

Rais ajaye awe na sifa zifuatazo

Kuishi kwa matumaini kuishi kwa imani na kudra za mwenyezi mungu.hizi ni zama za sayansi na technologia hawa watatuletea serikali inayoumwa na viongozi wake kwani tunategemea kuishi kwa mashaka, huenda safari ikaishia njiani kwani vikwazo kidogo presha juu.leo kuna mtu kapost barua yenye dalili zote za uoga eti kuna hujuma baada ya kuona kuwa hafiki mbali.
 
Maana yake Kuishi kwa kutumia dawa za kufubaza umasikini siyo kumaliza au kutatua tatizo lenyewe.
 
upo msemo unaosema "if you judge people you can't love them". pamoja na kupovuka sana hapa jamvini hatusaidii chochote, ni wakati wa kutoa mawazo chanya ya kujenga na kuweza kumtengeneza kiongozi atakae tutatulia kero zetu, either atoke ccm au ukawa mi nachotaka kiongozi mwenye nia nzuri na nchi yetu.
Tukiendelea na ushabiki tu tunazifunga fahamu zetu na mwisho wa siku tunabaki nyuma kwa maendeleo.
Nadhani nimeeleweka namwomba mungu atupe kiongozi bora zaidi ya vile tunavyofikiria sisi.
 
Nchi yetu kama wengi tunavyojua iko katika kipindi kibaya sana sio kiuchumi tu,balo kijamii na kisiasa..

Sisi wenye sifa za kupiga kura tunaowajibu mkubwa wa kuwaondolea manyanyaso wadogo zetu wasio na sifa kwa kuwachagulia viongozi watakao wasaidia kutatua shida zao, kama vifo vya watoto, malaria wazazi kulala wawili wawil.

Hospitalini, Madawati mashuleni, ada kubwa shule za private watoto wanaobeba mimba kufukuzwa shule. nk

Kwa kipindi hiki tulichopo kama nchi je tunahitaji raisi ajaye awe na vipaumbele gani au awe na sera gani zitakazo tuvusha hapa.

Bila kujali itikadi wala vyama wala mtu,tujadili.!!
 
Tupate rais anaetambua na kuguswa na matatizo yaliyopo katika jamii tuishiyo ambayo ni kikwazo/ vikwazo kwa maendeleo yetu na ayakemee kwa vitendo, hasa swala la ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.
Rais atakaeweka dira ya maendeleo yenye kuleta faraja kwa watanzania walio wengi hasa tabaka la maskini na mafukara.
 
1. Kuitisha upya bunge la katiba lisilotokana na wabunge wa kuchaguliwa au kuteuliwa ili kupata katiba pendekezwa
inaobeba maoni ya watanzania walio wengi.

2. Kurejesha nyumba zote za serikali zilizouzwa na Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi serikali ya awamu ya
tatu.

3. Kutengua mikataba yote mibovu inayonya uchumi wa taifa letu kama vile IPTL na mikataba mingine mingi mibovu
ili taifa lisiendelee kupotea fedha ambazo zingesaidia kuimarisha sector nyingine kama afya na elimu, maji na
nishati.

4. Atakayeweza kupambana na ufisadi na rushwa zilizokithiri sambamba na kuwafikisha mahakamani mafisadi papa
wote waliohusika na ufisadi katika nchi yetu Tanzania.

5. Kusimamia rasilimali za nchi yetu kwa uzalendo wa hali ya juu bila kuyumbishwa na mtu yoyote mwenye nia
mbaya.

6. Kurudisha viwanda na mashamba yote ya serikali yaliobinafisishwa kwa watu ambao hawajaviendeleza

Je nani atakayeweza simamia hayo hapo juu na mambo mengineo ya muhimu katika nchii yetu ya Tanzania?
 
Salamu,

Mimi kabwela mlalahoi, nachukua nafasi kuwawakilisha makabwela wote popote walipo kuwa sasa tumechoka na siasa za kujenga matumbo ya wachache tunaviomba vyama vituteuliye mtu ambaye anahudhunika kutuona makabwela tukizunguka pembezoni na katikati ya majalala mwanasiasa anayekelwa kuona mayatima wakilala ndani ya mapumba ya mchele, msituchaguliye mtu kutokana na urafiki wenu, undugu wenu au utajiri wake bali anayekidhi vigezo vyakutupigania.

Msihofu kumchagua mtu eti kwasababu ya chuki na migogoro yenu kama anauwezo tuleteeni huyo huyo atufanyie kazi,nendeni kila kona mkihubiri habari ya rushwa na ufisadi kahubirini habari ya uhadilifu hubirini habari njema juu ya haki maana makabwela wengi hatunahaki juu ya taifa hili nendeni mkahubiri habari ya uzalendo na mioyo ya kulipenda taifa lao.

Nendeni kila kona ya dunia mkitafuta wataalamu waje kutuelimisha ilinasi tukue kitechnologia ondoeni syllabus za kutupumbaza na kutufanya tusiwe chochote ktk elimu, semeni kila mahali kuwa Tanzania bila viwanda haiwezekani, semeni Wazawa bila madini na maliasili haiwezekani fanyeni hivyo.

By sauti ya mtu aliayenyikani.
 
Unatakaje uraisi kwa bahati mbaya?Chama kinakutea ili kuvujna makundi wala si kwasababu wewe una sifa ya kuwa rais,hukujiandaa kuwa raisi wa watanzania ila umejiandaa kuwa rais wa chama chako.Tusimchague huyo,
 
Unatakaje uraisi kwa bahati mbaya?Chama kinakutea ili kuvujna makundi wala si kwasababu wewe una sifa ya kuwa rais,hukujiandaa kuwa raisi wa watanzania ila umejiandaa kuwa rais wa chama chako.Tusimchague huyo,

Si lazima apate kura yako. Ila wengine tutampigia kwa sifa alizonazo tunazozifahamu. Nina uhakika baada ya kampeni hata wewe utamkubali na utampigia kura kama una nia njema na Nchi yako
 
Wewe fikiria mwenyewe unauchukia umaskini,lakini jimbo unaloliongoza ni maskini kabisa ,leo unataka kuondoa umaskini nchini,kama sio usanii ni nini?
 
Makufuli hawezi kuwa Rais wa Tanzania....labda Rais wa wana-kemia.


Mh. Lowasa ukiapishwa tu mteue Magufuli kuwa mkuu wa mkoa wa Geita. huku barabani amefisadi sana na barabara hazina kiwango
 
Unatakaje uraisi kwa bahati mbaya?Chama kinakutea ili kuvujna makundi wala si kwasababu wewe una sifa ya kuwa rais,hukujiandaa kuwa raisi wa watanzania ila umejiandaa kuwa rais wa chama chako.Tusimchague huyo,
Hakika hatuwezi kumchagua mtu anayenunua urais, Huyu ni wa kuogopa kama ukoma. Hukinunua kuwatumikia watu lazima pesa yako na washirika wako irudi.
 
Jk anakufuru akisema makufuli ni chaguo la mungu!!!! Kwanini asiseme ni chaguo lake jk mkwere yule!??!!!

Hatuwezi danganyika tena na maneno ya kumlisha mungu uovu!!!!

Hata yeye watu walisema ni chaguo la mungu lakini kaua kabisa uchumi wa nchi yetu!!!!

Sasa awaache watz wachague chaguo lao el kwani mungu aliwapa watu akili waweze wenyewe kutambua mema na mabaya, waovu na wema!!!! So, this time we need "chaguo la watu el" and chaguo la mkwere jk ampe kazi mashambani kwake msoga!!!
 
Nani ananunua urais kati ya makofuli na el??????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mtu (makufuli) kawekwa kwa lengo la kulinda maslahi mapana ya vigogo wa ccm afu mnatuzuga eti hanunui urais!!!!????? Mara ooooh ni chaguo la mungu!!!!????? What a shame!!!!!!!!!?????????????

Hivi mnadhani mtawadanganya watz mpaka lini!!!???? Sasa ni wakati wa watz kujichagulia rais wao wenyewe na si rais waliochaguliwa na wakubwa wa ccm kwa maslahi yao!!!!!!!!!!!!
 
Makufuli alikuwa
Sio chaguo la kikwete. Kila mtu anajua hilo. Makufuli alikuwa kama wenzake 38 kujaribu tu uraisi huku wakiwa hawana dira wala mwelekeo wa nunu wanataka kuifanyia tanzania.

Bora ya lowassa maana anajua anataka nini na alisha kuwepo kwenye gemu muda.

Magufuli atakuwa another kikwete's shadow leader
 
Naweza kusema Magufuli ni mzuri kiasi lakini chama ovyo kina mfumo wa kifisadi mwanzo mwisho! Naweza kusema Lowassa sio mzuri lakini CHADEMA safi ni Chama kilichothubutu hakuna msalia mtume kwa mafisadi! Ni wakati wa kubadili chama na mfumo.
 
Back
Top Bottom