Wakijenga shule nzuri watasoma watoto wale wa kule pia kwani wazazi wao ndio wenye ajira, wenye teuzi na wanaohudhuria semina na workshops kila Mara hivyo wanaweza kulipa ada kwenye shule bora zisizoweza kushindana na zike za kata.Ndugu zetu hawawezi kuwa sawa na sisi. Tatizo lao kubwa, wanawafundisha zaidi vijana wao Elimu Ahera zaidi ya Elimu Dunia. Si Jambo baya, lakin wanakosa ujuzi kutokana na kuwa na Elimu ndogo. Nakubali kuwa, wengi wao waliobahatika kutoboa, wako vizuri kichwani and their good leaders japo itikadi huwa zinawazidi...
Ndugu zetu hawawezi kuwa sawa na sisi. Tatizo lao kubwa, wanawafundisha zaidi vijana wao Elimu Ahera zaidi ya Elimu Dunia. Si Jambo baya, lakin wanakosa ujuzi kutokana na kuwa na Elimu ndogo. Nakubali kuwa, wengi wao waliobahatika kutoboa, wako vizuri kichwani and their good leaders japo itikadi huwa zinawazidi.
Chukulia mfano, Kati ya wanafunzi mia mbili wa Udaktari wanaodahiliwa kila Mwaka na Chuo Kama Muhimbili, Hawa ndugu zetu huwa hawazidi ishirini...
Kuongelea udini Karne hii ni kukosa hoja ya msingi kwa jamii ya kitanzania
Umesema vema, lakini kumbuka kuwa huwezi kumkamua mbuzi ambae hajazaa, watu wenye kipato/ajira wanakopesheka kwenye vyombo vya fedha, hivyo kumudu kuwekeza kwenye biashara na kilimo Kama unavyosema. Mtu ambae hana ajira/posho atapata wapi mtaji, ada na sadaka ya kutosha?Ushauri kwenu nyie wa hiyo dini
1) kuwekeza kwenye elimu ya mtoto wako sio lazima uwe umeajiriwa na kulipwa posho za semina kama ulivyosema hapo juu. Sasa ivi watu wengi wanajishughulisha na biashara pamoja na kilimo ambazo zinawaingizia pesa nyingi tu. So kuwekeza kwenye elimu ni wewe mwenyewe tu
2) Zanzibar mpo karibu 99% ya watu wote wanaoishi huko na hivyo dini hiyo ndio waliojaa kwenye hizo ofisi huko zanzbar, sasa kwa nn msiwe mfano huko zenj kwa kuwekeza kwenye elimu ikiwa nyie mpo wengi sana kwenye ajira huko?? Hebu tueleze hadi sasa mna vyuo vikuu vingapi na bora?...
CCM bara au visiwani?CCM wanasema ni huyu huyu hadi mwisho wa dahari
Kwanza hizi biashara za maombi na swala kwenye shughuli za kiserikali zilipaswa kupigwa marufuku.