Kamda ya magharibi alitoka Rais gani mkuu??Wanajamvi, nawasalimia sana. Si vibaya tukaanza kumtafuta rais atakayepokea kijiti toka kwa JPM. Na wala siyo vibaya rais ajaye akawa ni mtu mwenye sifa zoote zinanazohitajika kutokea kanda ya kati mikoa ya Dodoma na Singida. Zanzibar tayari, kusini tayar, kanda ya ziwa tayar, magharibi tayari. Kanda zilizobaki ni 2, kanda ya kati na kaskazini kabla hatujarudi tena Zanzibar. Angalizo, maoni haya yasipokelewe kwa mtizamo wa ubaguzi wa kikanda, bali desturi nzuri isiyo andikwa popote lakini yenye manufaa makubwa.
Mwalimu alitoka kanda ipi?Kamda ya magharibi alitoka Rais gani mkuu??
Naona pia tusiende kwa ukanda tuende kwa uweledi. Hata akitokea wa kanda ya ziwa mwingine 2025 tumpe tu waendelee kutunyooshea nchi maana hawa watu kwa kujisimamia wako vizuri
Kanda zote hazikosi watu wenye sifa tunayotaka, ni swala la kuamua tu kwamba this time tunataka rais kutoka Zanzibar, then tunamuandaa, ukanda haukosa watu zaidi ya milioni 3, sio kweli kwamba katika watu milioni 3 tutakosa mtu mwenye sifa na weledi tunaotaka.Kamda ya magharibi alitoka Rais gani mkuu??
Naona pia tusiende kwa ukanda tuende kwa uweledi. Hata akitokea wa kanda ya ziwa mwingine 2025 tumpe tu waendelee kutunyooshea nchi maana hawa watu kwa kujisimamia wako vizuri
Kanda ya kati!!! Unajua uongozi huanzia kwenye familia. Hao watu wa katikati hao!!Wanajamvi, nawasalimia sana. Si vibaya tukaanza kumtafuta rais atakayepokea kijiti toka kwa JPM. Na wala siyo vibaya rais ajaye akawa ni mtu mwenye sifa zoote zinanazohitajika kutokea kanda ya kati mikoa ya Dodoma na Singida. Zanzibar tayari, kusini tayar, kanda ya ziwa tayar, magharibi tayari. Kanda zilizobaki ni 2, kanda ya kati na kaskazini kabla hatujarudi tena Zanzibar. Angalizo, maoni haya yasipokelewe kwa mtizamo wa ubaguzi wa kikanda, bali desturi nzuri isiyo andikwa popote lakini yenye manufaa makubwa.
Musoma, Mara ni kanda ya Ziwa. Jografia ya nchi imekupita wapi mkuu??Mwalimu alitoka kanda ipi?
Ni kweli, kwenye list tuongeze kanda ya magharibi mikoa ya Katavi, Tabora na Kigoma. (namuona Zitto akitabasamu.)Kanda ya kati!!! Unajua uongozi huanzia kwenye familia. Hao watu wa katikati hao!!
Kwanini Isifuate kanda ya Kaskazini? Kwanini Ianze kanda ya kati?Wanajamvi, nawasalimia sana. Si vibaya tukaanza kumtafuta rais atakayepokea kijiti toka kwa JPM. Na wala siyo vibaya rais ajaye akawa ni mtu mwenye sifa zoote zinanazohitajika kutokea kanda ya kati mikoa ya Dodoma na Singida. Zanzibar tayari, kusini tayar, kanda ya ziwa tayar, magharibi tayari. Kanda zilizobaki ni 2, kanda ya kati na kaskazini kabla hatujarudi tena Zanzibar. Angalizo, maoni haya yasipokelewe kwa mtizamo wa ubaguzi wa kikanda, bali desturi nzuri isiyo andikwa popote lakini yenye manufaa makubwa.
No wonder bado sisi ni masikini!Karne hii bado kuna watu wanafikiria kutoa kiongozi kwa vigezo vya kikanda.
JOSEPH LUSINDE KIBAJAJIWanajamvi, nawasalimia sana. Si vibaya tukaanza kumtafuta rais atakayepokea kijiti toka kwa JPM. Na wala siyo vibaya rais ajaye akawa ni mtu mwenye sifa zoote zinanazohitajika kutokea kanda ya kati mikoa ya Dodoma na Singida. Zanzibar tayari, kusini tayar, kanda ya ziwa tayar, magharibi tayari. Kanda zilizobaki ni 2, kanda ya kati na kaskazini kabla hatujarudi tena Zanzibar. Angalizo, maoni haya yasipokelewe kwa mtizamo wa ubaguzi wa kikanda, bali desturi nzuri isiyo andikwa popote lakini yenye manufaa makubwa.
Kanda ya kati inahitaji mkombozi period. Ipeleke mtu akachungulie jikoni. Nimepita mikoa ya singida na dodoma nimegundua kuwa wanahitaji mkakati kabambe wa kuondoa umasikini. Sasa wakiwa na rais pale ikulu, hoja hii itawawia nyepesi.Kwanini Isifuate kanda ya Kaskazini? Kwanini Ianze kanda ya kati?
Kwahiyo unauchukulia Uraisi kama tiketi ya kufanya upendeleo eneo analotoka kiongozi. Hii ni sawa?Kanda ya kati inahitaji mkombozi period. Ipeleke mtu akachungulie jikoni. Nimepita mikoa ya singida na dodoma nimegundua kuwa wanahitaji mkakati kabambe wa kuondoa umasikini. Sasa wakiwa na rais pale ikulu, hoja hii itawawia nyepesi.