Lipumba mwenyewe anajua hawezi kuwa Rais, alafu keshaolewa na CCM na wewe unataka ndoa kwake, ALL THE BEST.
na admire kuto kukata tamaa kwa mashabiki wa huyu mtu aisee. Cuf ilisha kufa 2010 lakini bado kuna mashabiki wanao jipa moyo kuwa ita fufuka.
Kama unataka au hutaki ndio hivyohivyo!
https://www.jamiiforums.com/international-forum/275633-seif-al-islam-atoroka-gerezani-libya.htmlHabari kutoka Libya, zaeleza
kuwa Seiful Al-Islam mtoto wa
Rais wa zamani wa Libya
aliyeuwawa kikatili
amefanikiwa kutoroka katika
jela alilokuwa amefungwa akisaidiwa na mshauriwake.
Seiful Al-Islam ametoroka
katika jela hiyo na kuondoka
nchini humo...
Source:ABN
Utafiti uliofanywa na
wanasayansi toka Marekani na
Argentina umeonyesha kuwa
wireless internet kwenye
laptop ina madhara kwa
viungo vya uzazi vya mwanaume kwa kuharibu
ubora wa mbegu za kiume au
kuziua kabisa. Utafiti
uliofanywa kwa
kuweka mbegu za kiume chini
ya laptop inayotumia wireless internet ulionyesha kuwa
mbegu za kiume zilipungua.....
Nimesema hivi! Kama hamtaki acheni! Lakini huo ndio ukweli!Mbinu zote za CDM tunazijua na ndio maana kwa mbinu iliyotumiwa kuingiza imani katika vichwa vyenu na kuwafanya kuwa vipofu! Mbinu mliyotumia kuiangamiza ndio mbinu itakayowamaliza kwani hata bible inasema atakaye ua kwa upanga na yeye atauawa kwa upanga! CDM imekamata wahariri wote! Hivyo CDM acheni kujipa matumaini kwani siku sionyingi CDM itaporomoka kutokana na uozo uliomo ndani!
Actually mimi nilimpigia kura Lipumba katika Uchaguzi uliopita. Na ubunge nilimpigia kura Mbatia,awe mbunge wa Kawe. Lakini katika Uchaguzi ujao,nitaipigia CCM. nimeshaona hawa wapinzani......
Kweni hile ndoa na ccm imeishia wapiKama unataka au hutaki ndio hivyohivyo!
Sikujua kumbe mkuu una kipaji cha utabiri kama Marehemu Yahaya!!!! Duh.Nimesema hivi! Kama hamtaki acheni! Lakini huo ndio ukweli!Mbinu zote za CDM tunazijua na ndio maana kwa mbinu iliyotumiwa kuingiza imani katika vichwa vyenu na kuwafanya kuwa vipofu! Mbinu mliyotumia kuiangamiza ndio mbinu itakayowamaliza kwani hata bible inasema atakaye ua kwa upanga na yeye atauawa kwa upanga! CDM imekamata wahariri wote! Hivyo CDM acheni kujipa matumaini kwani siku sionyingi CDM itaporomoka kutokana na uozo uliomo ndani!
Yaani wewe ni CHIZIIIIIIIIIIIIIIIIIIII Km siyo chizi, basi we MAHUTUTI, NA upo ktk hali ya KOMA.
Yaani, hujitambuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Humo nilimo BOLD....yaani hapo ndipo mnapobuki na kujitia aibu kwa wasomaji wanaofuatilia siasa za Tanzania kupitiaNimesema hivi! Kama hamtaki acheni! Lakini huo ndio ukweli!Mbinu zote za CDM tunazijua na ndio maana kwa mbinu iliyotumiwa kuingiza imani katika vichwa vyenu na kuwafanya kuwa vipofu! Mbinu mliyotumia kuiangamiza ndio mbinu itakayowamaliza kwani hata bible inasema atakaye ua kwa upanga na yeye atauawa kwa upanga! CDM imekamata wahariri wote! Hivyo CDM acheni kujipa matumaini kwani siku sionyingi CDM itaporomoka kutokana na uozo uliomo ndani!
Na admire kuto kukata tamaa kwa mashabiki wa huyu mtu aisee. CUF ilisha kufa 2010 lakini bado kuna mashabiki wanao jipa moyo kuwa ita fufuka.
Uchaguzi wa mwaka 2000 na 2005 wakati CUF inanguvu na ushawishi kwa jamii nakumbuka yaliibuka maneno kuwa CUF niwa tz hatujafikia uendawazimu wa kumpa urais mpiga disco wa form 4 na tukamwacha profesor wa kweli kwa ajili ya udini wenu
wa tz hatujafikia uendawazimu wa kumpa urais mpiga disco wa form 4 na tukamwacha profesor wa kweli kwa ajili ya udini wenu