Raila vs Ruto, Malema vs Ramaphosa

Raila vs Ruto, Malema vs Ramaphosa

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,619
Political Martyrdom lingering.

March 20, 2023 Afro writes new history by militancy.

Ruto must go on 20th March, 2023.

Ramaphosa must go on 20th March, 2023.

These confirm that Autos-da-fe unavoidable in modern Afro until apocalypticism and or messianism.

Filosofia ya Rorya.



 
SAMIA VS MBOWE HAHA
Mbowe amehasiwa kisiasa, yaani hana tena nguvu za kuendeleza kizazi cha CHADEMA, yaani hana tena tija.

Machi 20, 2023 Afrika inawaka moto.

Nigeria nayo italipuka punde baada ya KE na ZA. Bola Tinubu ameendeleza mila ya Nigeria ya rais mkongwe kutawala nchi; ambayo sasa imechosha wananchi hususan baada ya Bola Tinubu kudhihirisha kuwa katika umri wa miaka 70 hana kumbukumbu ya mambo ya msingi ya nchi na ya kimataifa na kuzua hofu ni kwa vipi ataweza kuendesha nchi.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwa Malema ndipo ninapopakubali, jamaa huwa hawakwepeshi.

Yaliyomkuta Zuma yatamkuta Ramaphosa
 
Hapo kwa Malema ndipo ninapopakubali, jamaa huwa hawakwepeshi.

Yaliyomkuta Zuma yatamkuta Ramaphosa
Wote hawamalizagi awamu zao kasoro Mandela ndiyo alimaliza mi 5 aliyoomba. Hata Mbeki walimtokosa awamu yake kwa chagizo za Zuma. Kama kuna ka laana fulani hivi inatembea nao.

Hili la Kenya litasaidiwa na mambo matatu makubwa:-

1. Ruto kuondoa ruzuku kwenye unga. Nchi ina ukame kwa miaka 3 mfululizo (ukame uliovunja rekodi ya miaka 40) hadi ili kuokoa watu ilibidi Uhuru aweke ruzuku. Ruto kuondoa ruzuku kwenye unga (ambao ni dhahabu adimu Kenya kwa miaka 3 sasa) umefanya kiasi watu 1.3 ml kuwa kwenye usalama tete wa chakula hadi USAID kulazimika kutoa KSH. 16 bl.

2. Ruto kuondoa ruzuku kwenye nishati ya mafuta na vilainishi vya mitambo na vyombo vya moto.

3..Mahakama ya Upeo kuruhusu kutambuliwa haki za Mashoga na Wasagaji LGBTQ.

Hayo 3 yatakoleza migomo na maandamano ya kuchagiza "Ruto must go"

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kwamba Ruto aache kazi? Katiba ya Kenya inaruhusu?
 
Bola Tinubu ameendeleza mila ya Nigeria ya rais mkongwe kutawala nchi; ambayo sasa imechosha wananchi hususan baada ya Bola Tinubu kudhihirisha kuwa ktk umri wa miaka 70 hana kumbukumbu ya mambo ya msingi ya nchi na ya kimataifa na kuzua hofu ni kwa vipi ataweza kuendesha nchi.
Kama hawapendi Rais kikongwe mbona wamempa kura sasa?
 
Back
Top Bottom