he is president not ordinary man
urafiki wao uwe na mipaka na diplomacy yetu na majirani zetu for future benefit
unapochagua mbele urafiki na kueka mahusiano ya kenya na tz katika hali mbaya huko ndo kukosa uzalendo sasa
Tulipoleta habari za Mugabe kupinduliwa mlisema uzushi Lumumba wakatunga propaganda eti ameliambia na jeshi limpindue, tangu jana Lumumba hawaongelei habari za Zimbabwe.