ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,729
- 34,829
Wanamuapisha kwa matokea yaliyopo kwenye server.Huyu jamaa kumbe naye ni mpumbavu kabisa, rais yuko ikulu, mihimili yote ya nchi inamtambua,arafu yeye anataka ajiepushe ili amtawale nani na kwa ofisi ipi ya umma,?