Tofauti ni Odinga hakuwa Rais ndio maana hapo kasema yeye ni mshauri tu Hana uwezo wa kumpangia Uhuru Cha kufanya. Ila Ruto alikua makamu wa Rais na akasema COVID na Ukraine sio sababu akiwa Rais ataonyesha why!!
Sasa amekua Rais ameanza kulia Lia kuwa COVID na Ukraine zinamtesa na kwamba gharama zimepanda Dunia nzima. Ila Odinga yeye alikua mpinzani na Sasa Bado ni mpinzani ila Ruto alikua serikali na Sasa ni serikali so anayeonekana failure ni RUTO sio Odinga maana hakua serikalini.
Kama kura zingepigwa Leo, basi Ruto asingepata hata 20%.