chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Mwanasiasa maarufu Kenya na kiongozi wa upinzani Raila Odinga akicheza wimbo wa Zigo remix wa AY kwenye tukio moja huko Kenya
Ben unaingiaga hili jukwaa??Nimecheka sana
Nipo mkuu The bold.Asante sanaBen unaingiaga hili jukwaa??
Karibu sana mkuu...
Mwanasiasa maarufu Kenya na kiongozi wa upinzani Raila Odinga akicheza wimbo wa Zigo remix wa AY kwenye tukio moja huko Kenya
mashaka ya nini mkuu?Napata mashaka na ma DJ wa pande zile.
wabongo ndio kitu tunachoweza tu...mzikiMuziki wa bongo ndio kilakitu East Africa
Jamaa zetu hawa wa nchi jirani hawataki tu kukubali ukweli huo.Muziki wa bongo ndio kilakitu East Africa
Raila ndio Rais kipenzi cha wakenya wengi
usicheke...wapinzani siku zote hawana akili....angalia hapa-->> jokesNimecheka sana
sasa hapo ni kukosa akili kivip? na hapo umeweka link au nini?usicheke...wapinzani siku zote hawana akili....angalia hapa-->> jokes