Raila Odinga afanya ziara ujenzi wa SGR Tanzania

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,073
The African Union's High Representative for Infrastructural Development, Raila Odinga is in Tanzania inspecting progress of SGR construction
IMG_20190322_125358.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr. President to-be -Nawaza tu.

Kuna kitu kinaendelea hapo white house Nairobi between Uhuru, Raila and Ruto na imeingia kwa sasa kupitia tweeter account ya president ambapo inasemekana kuna mtu anaingia kuchafua account.

So Raila kuja tz na kutembelea SGR kuna kitu hapo so Ruto take respect kwa Raila 😂!.
 
Hizi taarifa nilizisoma nikashangaa sana kwamba SGR ambayo mnatupigia makelele kila siku hamjafika hata nusu, kwa jinsi huwa mnapayuka utadhani mshaizindua, kasafu ka 200km lakini makelele kila siku.
Sisi tupo kwenye hatua za kukamilisha mzinga wa 700km wenye handaki refu kupita yote ukanda huu.
 
Hiyo ndio kazi mpya ya Raila Amolo Odinga pale Umoja wa Afrika(A.U.). Raila ni Special Envoy wa A.U. kuhusu masuala ya maendeleo na miundo mbinu Afrika. Tena rais U.K. ndiye aliyewaunganishia, wakiwa na Kalonzo Musyoka, ambaye anangoza kamati ya kuwapatanisha viongozi wanaolumbana kule S.Sudan. Raila ana ofisi Addis Ababa, Nairobi na Cairo na anakatiza kote kote ndani ya bara hili. Mzee alishavuka boda na akafika Canaan zamani sana. Hongera zake, acha Agwambo achape kazi. Ushawishi wa Kenya barani Afrika unaendelea kuimarika kila uchao.
 
Ulianza lini kujenga reli yenu? Ni Mara tu baada ya Kenyatta kushika madaraka. TANZANIA Ni baada ya JPM (2017) Tuone Sasa

Hiki kiswahili umeandika hapa unahitaji pongezi,umejipanga vizuri!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulianza lini kujenga reli yenu? Ni Mara tu baada ya Kenyatta kushika madaraka. TANZANIA Ni baada ya JPM (2017) Tuone Sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Jpm yupo kwenye mwaka wa tano, mwisho wa hatamu ya kwanza, ilhali kasafu ka 200km hamjafika hata nusu yake.
Uhuru yupo kwenye mwaka wa nane na ako kwenye hatua za kukamilisha 700km SGR
Kwanza 500km alikamilisha ndani ya hatamu ya kwanza. Nyie mnakwenda kwenye uchaguzi ili kuomba hatamu nyingine huku reli ikiwa bado sana.
 
Hizi taarifa nilizisoma nikashangaa sana kwamba SGR ambayo mnatupigia makelele kila siku hamjafika hata nusu, kwa jinsi huwa mnapayuka utadhani mshaizindua, kasafu ka 200km lakini makelele kila siku.
Sisi tupo kwenye hatua za kukamilisha mzinga wa 700km wenye handaki refu kupita yote ukanda huu.

kumbuka huku hatujengi garimoshi,hapo ndo ulipo utofauti wetu
 
Dunia yote hakuna sehemu gari moshi zinajengwa wala kutumika.....Ukweli ni kwamba nyie hamjambo kwa maneno lakini matendo zero, yaani kitu cha kawaida mnakikuza kwa mbwembwe mtu atadhani mumefanya makubwa. Angalia hata mpira, timu za nchi zote EAC zimeingia Afcon lakini kwenu Mganda kawaachia muingie maana yeye tayari alikua ameingia ila imekua makelele utadhani mumeshinda kombe la dunia.
 
afcon tumeingia kwa nguvu zetu,uganda tulivyoenda kwao tulitoka 0-0,na ilikuwa bado kidogo tuwafungie kule kule kwao,sasa juzi wameingia kwa mkapa stadium ngumu kwa timu yoyote pinzani wakala 3-0 japokuwa waliagizwa na raisi wao wasipoteze mechi hata moja mu7 alitaka wamalize tournament unbeaten,
kenya muwashukuru sana siera leone kwa kujitoa,la sivyo mngekuwa kama rwanda,kumbuka hiyo situation tulikutana nayo sisi last tournament pale chad alipojitoa lakini kwa kipindi kile ilipita timu moja tu,
 
Back
Top Bottom