Raila atoboa alichoongea na Chadema: Nimewashauri Chadema warudi kwenye maridhiano

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,679
Reaction score
9,839
Kupitia ukurasa wake wa X nguli wa demokrasia nchini Kenya.

Nilifanya majadiliano na viongozi wa upinzani kutoka Tanzania waliokuja kunitembelea kwa ziara ya heshima. Tulibadilishana mawazo kuhusu kuimarisha demokrasia barani Afrika, ikiwemo mchango madhubuti wa vyama vya siasa katika maendeleo ya taifa, iwe vilivyo katika serikali au vinavyokuwa nje ya serikali.

Niliwashauri wazingatie umuhimu wa mazungumzo na ushirikiano wa kimaendeleo na serikali kwa manufaa ya taifa na uhifadhi wa demokrasia ya Tanzania. Natarajia uchaguzi wa amani na wa uwazi katika uchaguzi ujao wa Tanzania.

Soma Pia: Tundu Lissu akutana na Raila Odinga Jijini Nairobi na kufanya naye Mazungumzo

Ni wakati wa Lissu na machawa wake kusikiliza ushauri wa wanasiasa wenye uzoefu na uelewa. Waachane na utoto wa no reform no election.

Screenshot 2025-03-22 222212.png
 
Kupitia ukurasa wake wa X nguli wa demokrasia nchini Kenya.
Raila Odinga amwfichua alichoongea na Chadema akiwataka kufata strategy za Mbowe za kukaa mezani na serikali.

Raila amesema mbinu ya maridhiano ndio dawa ya kupata demokrasia ya kweli.

Ni wakati wa Lissu na machawa wake kusikiliza ushauri wa wanasiasa wenye uzoefu na uelewa. Waachane na utoto wa no reform no election.
kwa kiburi na ujeuri,
huyo kibaka na tapeli wa siasa nchini lazima atapuuza na kushupaza shingo dhidi ya mawaidha hayo ya kinara wa ODM, Raila Amolo Odinga, Baba

hata hivyo kushauriana na mtu alieshindwa nawe utashindwa tu vile vile 🐒
 
Kupitia ukurasa wake wa X nguli wa demokrasia nchini Kenya.

Nilifanya majadiliano na viongozi wa upinzani kutoka Tanzania waliokuja kunitembelea kwa ziara ya heshima. Tulibadilishana mawazo kuhusu kuimarisha demokrasia barani Afrika, ikiwemo mchango madhubuti wa vyama vya siasa katika maendeleo ya taifa, iwe vilivyo katika serikali au vinavyokuwa nje ya serikali.

Niliwashauri wazingatie umuhimu wa mazungumzo na ushirikiano wa kimaendeleo na serikali kwa manufaa ya taifa na uhifadhi wa demokrasia ya Tanzania. Natarajia uchaguzi wa amani na wa uwazi katika uchaguzi ujao wa Tanzania.

Soma Pia: Tundu Lissu akutana na Raila Odinga Jijini Nairobi na kufanya naye Mazungumzo

Ni wakati wa Lissu na machawa wake kusikiliza ushauri wa wanasiasa wenye uzoefu na uelewa. Waachane na utoto wa no reform no election.

View attachment 3279918

Wewe kichwani kupo sawasawa?

Umeelewa mantiki ya maelezo ya Raila Odinga au unaropoka tu?

Raila amezungumzia umuhimu wa mazungumzo. CHADEMA sasa wanafanya kotu gani? Hukusikia waliiandikia barua tume, wamekutana na msajili wa vyama, wameongea na mabalozi, viongozi wa dini, n.k. Hivi hayo siyo mazungumzo. Lakini kama kichwani upo mzima hata kidogo, utakuwa unajua kuwa ili kuwepo mazungumzo ni lazima pande zote husila ziwe tayari kuzungumza. Je, Samia yupo tayari kuzungumza? CCM ipo tauari kuzungumza?
 
Lisu haijui siasa ni maridhiano
 
Ndio maana ni ngumu upinzani kwenda ikulu sasa hapo ndio umetoa ufafanuzi gani!
 
Anyway Chadema inaheshimu watu wlte, Raila hana Tofauti na Lipumba au John Cheyo
Kupitia ukurasa wake wa X nguli wa demokrasia nchini Kenya.

Nilifanya majadiliano na viongozi wa upinzani kutoka Tanzania waliokuja kunitembelea kwa ziara ya heshima. Tulibadilishana mawazo kuhusu kuimarisha demokrasia barani Afrika, ikiwemo mchango madhubuti wa vyama vya siasa katika maendeleo ya taifa, iwe vilivyo katika serikali au vinavyokuwa nje ya serikali.

Niliwashauri wazingatie umuhimu wa mazungumzo na ushirikiano wa kimaendeleo na serikali kwa manufaa ya taifa na uhifadhi wa demokrasia ya Tanzania. Natarajia uchaguzi wa amani na wa uwazi katika uchaguzi ujao wa Tanzania.

Soma Pia: Tundu Lissu akutana na Raila Odinga Jijini Nairobi na kufanya naye Mazungumzo

Ni wakati wa Lissu na machawa wake kusikiliza ushauri wa wanasiasa wenye uzoefu na uelewa. Waachane na utoto wa no reform no election.

View attachment 3279918
 
kwa kiburi na ujeuri,
huyo kibaka na tapeli wa siasa nchini lazima atapuuza na kushupaza shingo dhidi ya mawaidha hayo ya kinara wa ODM, Raila Amolo Odinga, Baba

hata hivyo kushauriana na mtu alieshindwa nawe utashindwa tu vile vile 🐒
 
Kupitia ukurasa wake wa X nguli wa demokrasia nchini Kenya.

Nilifanya majadiliano na viongozi wa upinzani kutoka Tanzania waliokuja kunitembelea kwa ziara ya heshima. Tulibadilishana mawazo kuhusu kuimarisha demokrasia barani Afrika, ikiwemo mchango madhubuti wa vyama vya siasa katika maendeleo ya taifa, iwe vilivyo katika serikali au vinavyokuwa nje ya serikali.

Niliwashauri wazingatie umuhimu wa mazungumzo na ushirikiano wa kimaendeleo na serikali kwa manufaa ya taifa na uhifadhi wa demokrasia ya Tanzania. Natarajia uchaguzi wa amani na wa uwazi katika uchaguzi ujao wa Tanzania.

Soma Pia: Tundu Lissu akutana na Raila Odinga Jijini Nairobi na kufanya naye Mazungumzo

Ni wakati wa Lissu na machawa wake kusikiliza ushauri wa wanasiasa wenye uzoefu na uelewa. Waachane na utoto wa no reform no election.

View attachment 3279918
CHADEMA siku zote na wakati wowote iko tayari kwa mazungumzo seroius na ya kuaminika yaliyojengwa ktk msingi wa UTASHI WA KWELI WA KISIASA ili kufikia mwafaka wa pamoja ktk mambo yote ya kiuchaguzi yanayolitatiza taifa na nchi yetu tangu uchaguzi wa 2019....

Vinginevyo CHADEMA ikiungwa mkono na mamilioni ya wananchi, haiko tayari kuingizwa kwenye mazungumzo ya maridhiano ya hadaa na ulaghai wa Rais Samia na CCM/serikali yake ili kuhalalisha uchafu wao wa kisiasa walioufanya ktk chaguzi tatu sasa i.e 2019, 2020 na 2024. ENOUGH IS ENOUGH, WE WANT CHANGES and we're firmly saying, NO REFORMS, NO ELECTION...

Na kwa kuwa CCM na serikali yao hawataki kufanya mabadiliko kwa hiari yanayoweka usawa ktk chaguzi zetu kupata viongozi wenye ridhaa ya wananchi kuongoza nchi na taifa letu, basi mimi nakubali kabisa kuwa ni halali na ni mwafaka kabisa zitumike njia za shinikizo kuwafanya wakubali...
 
Back
Top Bottom