TANZIA Raila Amolo Odinga afariki dunia nchini India kwa mshtuko wa moyo

Raila omolo odinga ni mwanaharakati na mwamba wa siasa afrika nzima. Lakini ukiwa mwanaharakati kuchukua nchi huwa haiwezekani. PUMZIKA UNAKOSTAHILI MWENDO UMEUMALIZA.. sisi wa imani kali tunasema haujafa bali umelala kwani licha ya kuwa hauongei lakini maneno,falsafa zako zimebaki mioyoni mwetu.
 
RIP mwamba. Wasalimie Jomo, Ouko, Mboya na Kibaki. Pia wasalimie watz akina Julius, Ben, Hassan na John.
 
RIP muzee, alikosea sana kujiunga na ruto uzeeni baada ya kupambana miaka tele!
 

Apumzike kwa amani. Kwa hakika Kenya baba kama Lissu, Polepole, Nyerere au Mandela aliipigania.

Kama kwetu kama Kenya Moi na Kibaki wakamdhulumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…