Raia wawabadilikia police

Raia wawabadilikia police

Kuna kenge moja leo imenibishia ati watu watakaa ndani kuvumilia njaa kwa kuogopa korona nikaona huyu hajui tafsiri ya njaa na kukaa ndani nikampuuza..

Ila raia wanagawa kisago kushinda hata polisi sasa kuna haja ipi ya mazoezi ya kipolisi wakati mtaani Kuna njemba zipo fiti polisi wakasome!!😜😜
 
kweli kwenye njaa unaweza kumtafuna binadamu menzako rejea kisa cha wle jamaa waliopatwa ajali ya ndege wakaamua kula maiti
 
Back
Top Bottom