Raia wa China Kizimbani kwa kutaka kumpa rushwa Mkuu wa mkoa wa Geita

Siyo masikini, ni kwamba wametusoma wametujua kulikotunavyojijua, wanatuona ngedere tu, hiyo ni dalili kuwa kuna watendaji wanavipokea hivyo na huo ni mwendelezo tu, jiulize swali, mtanzania anaweza kudiriki kutoa rushwa China!? Seriousness katika mambo ya msingi haipo hapa kwetu, kama sheria zingekuwa kali huyo mchina asingethubutu hata kufikiria kutoa hiyo rushwa.
Aisee kuna ukweli kwny bandiko nakumbuja hata JK akiwa raisi alipataga scandal ya kuhongwa suti 3 na wale waarabu aisee.
 
Ingekua na kapicha kwa mbaaali ingependeza sana. Ila usawa huu kukataa 1m kwa mwezi daaah
 
Aisee kuna ukweli kwny bandiko nakumbuja hata JK akiwa raisi alipataga scandal ya kuhongwa suti 3 na wale waarabu aisee.


Ndiyo sisi hao, unapokuta tunachezewa ni kwasababu tumeridhia kuchezewa, vinginevyo wangetuogopa in advance
 
Back
Top Bottom