Raia wa China Kizimbani kwa kutaka kumpa rushwa Mkuu wa mkoa wa Geita

Huyu Mchina,alikuwa anataka kutoa kwa hiari yake!,(kitu kikitolewa kwa hiyari ni zawadi),Angekuwa ameombwa kwa nguvu au kutoa masharti ya kupata upendeleo juu ya jambo fulani ingeleta shaka.(tungiita ni mazingira ya rushwa).
Sasa hapo tupime mazingira ya zawadi vs mazingira ya rushwa.
Lakini,ikumbukwe viongozi wengi hupokea zawadi.!!
 
Hao ni makomred wenzetu, after all wachina hawana masharti kama wale mabeberu wa magharibi pale unapowapelekea bakuli
 
Huyu mchina shida hapo katoa rushwa mdogo sana ndo maana kashikika ila angelitoa mzigo mkubwa tena wa maana...
Any way ngoja niishie hapo kwanza...
 
Back
Top Bottom