Raia mwema na Raia Tanzania

Raia mwema na Raia Tanzania

unamsingizia Mbwambo
naona humjui vizuri kumlinganisha na Manyerere ni kumtukana

Naona BOSS wewe uko ROHONI mwake unajuwa hata anafikiria nini hongera.....Mbwambo kama kweli ni mwandishi ambaye hayuko bias basi angetukumbushia na stori walizo ziandika za Magufuli za SUNDI MALOMO...., mdogo wake Magufuli...unakumbuka walimwandika Magufuli mpaka Chinga akawatishia alipokuwa anaweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Singida pale Puma?
 
..huyo manyerere anazunguka na makufuli everywhere,hawezi kuacha kumpamba bosi wake wakati kila siku anapewa bahasha ya kaki.!
Manyerere kaingiaje hapa? Ebu niacheni jamani niendelee kumuuguza baba yangu.
 
Ukweli hauna pande mbili , binafsi ni msomaji wa RAIA mwema na napenda makala zake maana most of them zina uhalsia na sio biased kama za kubenea na washirika wake wa nipashe n.k
 
Ukweli hauna pande mbili , binafsi ni msomaji wa RAIA mwema na napenda makala zake maana most of them zina uhalsia na sio biased kama za kubenea na washirika wake wa nipashe n.k

Wote wachumia tumbo tu, hao raia mwema kila siku Lowasa Lowasa hawana jipya, mi nilikuwa napenda kuyasoma lakini yamekuwa tu much! Hata kama wana mahaba Na jp sasa lakini wakati mwingine wabalance story zao! Ni hao hao walimwandika jp juu ya uuzwaji wa nyumba Na madudu mengi aliyofanya, lakini Leo wanajifanya hayo hawayaoni, ni upuuzi kujifanya wao ndo wa maana kisa wanawdza kuandika kwenye magazeti. Uandishi ni professional ambayo mtu anatakiwa afuate msingi Na kanuni zake andika ukweli hata kama kuna wakati ukweli unauma.

Madaktari nao wakioamua kufuata mahaba kama haya ya uandishi unadhani haki ingekuwaje? Vinginevyo itamkwe wazi kuwa hii si kazi ya uweredi ila inaogozwa Na mihemuko Na unavyojisikia! Waache kuzingua watu Na uandishi wao feki!
 
Je mwanahalisi la kipindi cha nyuma na sasa unalichukuliaje?
 
Namshukuru Mungu kuniwezesha kutambua ni kwanini magazeti haya sasa hivi yanamchafua sana Lowassa.

Hii ni hali ileile iliyompa ulaji Salva na Salva sasa ni mtu mwingine tofauti na mwandishi wa habari. Salim alichafuliwa vilivyo mpaka mukulu tukamuita chaguo la Mungu.

Kwa taarifa yenu watanzania wa sasa si wa miaka kumi iliyopita mtaandika na kuchafua sana lakini ukweli utabaki palepale.

Mabadilikoooooo....................

Shida yako ni kutaka watanzania wotee waimbe wimbo unao upenda
 
Huu ni upuuzi wa kutaka magazeti yote yaimbe wimbo wa Mwanahalisi, Tanzania Daima, Mawio, Mtanzania na hata nipashe.

Hilo gazeti linaandika ukweli ndio maana nyie mnalishupalia, maana linagonga kwenye mfupa.

Kwa nyie ambao mpo tayari kuchagua hata maiti au jiwe basi sio Saizi yenu, nyie someni hayo hapo juu ambayo ni vigumu kutofautisha Tanzania Daima, Mawio, Mtanzani na Uhuru.

Raia MWEMA ndipo Gazeti ambalo sikosi kulinunua, Nenda hata kwenye website yao angalia views, wakati mwingine makala moja inasomwa na watu Hadi elfu ishirini.

Wenye akili wanaelewa sio wote wanaweza kuburuzwa na Pesa za Lowassa.

Na mgombea wa ukawa akishinda,mwanahalisi,tanzania daima na mawio yatakua kama uhuru na mzalendo.
 
Wote ni hao hao, japo mwanahalisi ndo inawiki mbili sasa tusubiri tuone....

Umekuwa bias katika jibu lako

Mwanahalisi=mawio ambayo yalichohubir kipindi cha nyuma nitofauti na sasa
 
Umekuwa bias katika jibu lako

Mwanahalisi=mawio ambayo yalichohubir kipindi cha nyuma nitofauti na sasa

Inawezekana ukaniona bias katika jibu langu ni kweli lakini hoja yangu nilikuwa kuangalia uandishi as professional Na uandishi wenyewe ambao kila kukicha wanatoka kutuaminisha hivyo Na tuawatazame hivyo! Kiuhalisi wao wenyewe hawana hizo ethics Na ndo maana uandishi wao umejikita kwenye hisia badala ya uhalisia!

Ndo maana nikasema ni hao hao waliotuaminisha kuwa jp hafai ni mbabe, mbinafsi anamaamuzi ya kidikteta, rejea suala Na uuzwaji wa nyumba, samaki nk. Leo hao hao wako kimya wanampamba ameonekana mzuri!!!? Kweli! Maisha ni hao hao waliimba Lowasa fisadi nk lakini Leo wako kimya..!

So nachokataka kusema ni kwamba uandishi wa hao wandishi wetu ni mihemuko tu sawa Na bendera fuata upepo wakitumaini kupata chochote kwa kazi hiyo ya kusifia!
 
Leo si jne jamani kwani nishatoka if yes heading inasemaje?
 
Back
Top Bottom