Ina maana Jenerali nae ananunulika siku hizi?
manake ni kama wameamua kupiga kampeni za wazi kabisa za kumsaidia Magufuli...
nimejiuliza why wanaogopa kuwa neutral...
Ina maana Jenerali nae ananunulika siku hizi?
manake ni kama wameamua kupiga kampeni za wazi kabisa za kumsaidia Magufuli...
nimejiuliza why wanaogopa kuwa neutral...
Namshukuru Mungu kuniwezesha kutambua ni kwanini magazeti haya sasa hivi yanamchafua sana Lowassa.Hii ni hali ileile iliyompa ulaji Salva na Salva sasa ni mtu mwingine tofauti na mwandishi wa habari.Salim alichafuliwa vilivyo mpaka mukulu tukamuita chaguo la Mungu.Kwa taarifa yenu watanzania wa sasa si wa miaka kumi iliyopita mtaandika na kuchafua sana lakini ukweli utabaki palepale.
Mabadilikoooooo....................
Shida ya hapa kwetu ukiwa na upande kwenye siasa uhakikishe 'predictability' ya siasa yenyewe. Ikitokea baada ya kuchukua upande na huo upande ukianza kuonyesha madudu wewe ambaye ulibeba huo upande na wewe una'share' blame/take responsibility. Vyombo vyetu vya habari vinakuwa na upande, lakini havikubali ku'share' blame au take responsibility.
cc nyumba kubwa .....
Kuna watu wanadhani unafiki ndiyo nguzo ya kisiasa!Huwezi kuwa neutral
lazima uwe moto au baridi...
Hawawezi ujua ukweli afu wa pretend kutojua...
Yani uachie wananchi waamue? kwa akili zipi?
Lazima waonyeshwe njia..kuwa huku siko....
Mi nimefurai jinsi wasivyomung'unya maneno...
Hata CDM ukweli wanaujua....
Ila wana interests zao (wanatumiana)
Mengi na magazeti yake au vyombo vyake vya habari wapo upande wa Lowassa. Hilo lipo dhahiri. Magazeti ya Ulimwengu yapo upande wa Magufuli.
Ni utamaduni wa kawaida wa vyombo vya habari kwa waliozoea demokrasia. Kinachokatazwa ni kuandika uongo. Lakini turning a blind eye kwa mtu wa upande wako na kuanika mabaya ya mtu usiyemtaka ni kitu cha kawaida kwenye media. Narudia, kuandika uongo au kumzulia mtu ndiyo tatizo kwa sababu anaweza kwenda kortini.
Ni wazi kwamba magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania wamechagua au wanamwona Magufuli the lesser evil au shetani mwenye nafuu.
Katika nchi ambazo elimu ni ya kiwango cha juu, na watu wanaweza kupembua pumba na mchele sio tatizo. Tanzania yetu ambayo kuna idadi kubwa ya watu wanadhani UKAWA ni chama inaweza kuwa shida.
All in all, baada ya uchaguzi October, 25, Tanzania itapata kiongozi ambaye ndiyo stahili yake.
Mkuu nilishangaa kijana mmoja alikuwa anatafuta Raia tanzania alipolikosa akanunua uhuru nikashangaa kumbe raia na raia mwema yameungana na jambo leo kuwa ya CCM kama uhuru, lakini wajue kuna maisha baada ya uchaguzi, kwa hali ilivyo CCM ikianguka ndo utakuwa mwisho wa magazeti hayo kununuliwa kwani sasa yananunuliwa ba wanaCCM wachache waliobaki.Ina maana Jenerali nae ananunulika siku hizi?
manake ni kama wameamua kupiga kampeni za wazi kabisa za kumsaidia Magufuli...
nimejiuliza why wanaogopa kuwa neutral...
Huu ni upuuzi wa kutaka magazeti yote yaimbe wimbo wa Mwanahalisi, Tanzania Daima, Mawio, Mtanzania na hata nipashe.
Hilo gazeti linaandika ukweli ndio maana nyie mnalishupalia, maana linagonga kwenye mfupa.
Kwa nyie ambao mpo tayari kuchagua hata maiti au jiwe basi sio Saizi yenu, nyie someni hayo hapo juu ambayo ni vigumu kutofautisha Tanzania Daima, Mawio, Mtanzani na Uhuru.
Raia MWEMA ndipo Gazeti ambalo sikosi kulinunua, Nenda hata kwenye website yao angalia views, wakati mwingine makala moja inasomwa na watu Hadi elfu ishirini.
Wenye akili wanaelewa sio wote wanaweza kuburuzwa na Pesa za Lowassa.
Yani mtu asisimamie anachokiamini kwa kuogopa kuwa liable?
Mimi nimeweka wazi niko upande wa Makufuri...
Akivurunda hainizuii kuwa disappointed wala kumpa makavu live...
Hai make sense kusema eti mi siko kokote kisa kuogopa lawama...(deep inside hata humu kila mtu ana upande...hata ukificha one can read between the lines)
Ina maana Jenerali nae ananunulika siku hizi?
manake ni kama wameamua kupiga kampeni za wazi kabisa za kumsaidia Magufuli...
nimejiuliza why wanaogopa kuwa neutral...
Kwani humwoni MZEE M.M na padri karugendo wanavyomwandama Lowassa?
Johnson Mbwambo na Manyerere wanashindana kumrithi Salva Rweyemamu...Hii ni baada ya mkwere kuwatupilia mbali katika kipindi chake. Kumbukeni jinsi Johnson Mbwambo na Salva Rweyemamu walivyo mpaka matope Salim Ahmed Salim, wakaenda mbali na kumtuhumu kuwa alishiriki katika kumuua Rais Karume. Hizo zilikuwa ni tuhuma nzito ambazo ni kosa la uhaini. Leo unafikiria watashindwa kung'ang'ana na Richmond nk? Wiki iliyopita gazeti la Raia Mwema lilikuwa na makala mbili za Johnson Mbwambo zote mbili zilikuwa zina mlenga Lowasa.
Kama ilivyo kuwa kwa Warioba hivyo hivyo kwa Lowasa...baaada ya tarehe 25 oct 2015 utasikia hizo zilikuwa ni mbinu za ushindi.....Prof. Mwandosya alisema kumpaka matope Warioba zilikuwa ni mbinu za ushindi.....
unamsingizia Mbwambo
naona humjui vizuri kumlinganisha na Manyerere ni kumtukana
Duh, hapo pamenishtua kidogo!...ndo maana wapo watu watawapigia kina Anna Mgwira na Hashim Rungu....