mwana wa africa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 548
- 128
maamuzi magumu yaliyochukuliwa na cc ya cdm kuwavua uanachama madiwani watano wakaidi ni kielelezo cha dhamira ya kweli ya chama makini kusimamia sheria na taratibu sahihi katika kuiongoza jamii. aidha uamuzi kama huu unaweza kuchukuliwa na baadhi ya watu kama mtaji wa kisiasa kuwatumia madiwani hao wakaidi katika ajenda zao za kutaka kukibomoa au kukiyumbisha chama. kutokana na hali hiyo ni vyema busara zaidi ikatumika kuwapa wananchi hasa wa arusha taarifa sahihi kwa kutumia vikao na mikutano ya hadhara katika kueleza kwa ufasaha na dhamira iliyopelekea maamuzi haya kufikiwa . zaidi sana viongozi, . aidha kwa viangozi wakuu wa cdm (mbowe na timu yake kwa kushirikiana na ofisi ya waziri mkuu kutumia wakati huu kusukuma kwa nguvu zaidi jitihada za kutaka kuleta utengamano wa kisiasa katika jiji hilo ili kumaliza suala hili.
Wahenga wanatuambia, "vita vya panzi, furaha ya kunguru!" Binafsi, sikubaliani na misimamo ya wanazi wa cdm! Bado siamini kwamba best option ya kutatua migogoro kwenye vyama ni kutimuana! Historia inatuonesha kwamba, NCCR ilipotea kwenye ramani kutokana na mtindo huu huu wa kutimuana timuana kwa kile ambacho na wao walikiita kuondoa mamluki! Viti 3 vya ubunge ambavyo leo hii vipo NCCR kule KGM na matunda ya staili hii ya cdm! Ina maana hiyo ndiyo pekee ya kutatua migogoro ndani ya chama?! Am afraid kwamba staili hii ya msimamo mkali itaipeleka cdm pabaya! Na busara unayoihitaji mtoa mada ni kwamba ilishaachwa kutumika tangu kitambo! Ni kwanini uongozi wa juu wa cdm haukuenda Arusha kama ambavyo madiwani wale walivyokuwa wanadai?! Haiwezekani nusu ya madiwani wamlalamikie Lema na kuomba uongozi wa juu kwenda kuchunguza na bado uongozi ukapuuza maombi hayo!! Ni wapi hiyo busara?! Ningekuwa ni mpenzi au mwanachama wa cdm basi nisingesita kusema waziwazi kwamba staili ya uongozi ya akina Lema haitafikisha cdm pale inapotakiwa kufika!! cdm watakuwa wanafanya kosa sana wakihadaika na wapiga pinje wa JF ambao wengi wao sio wapiga kura! Mwenye macho haambiwi tazama, kwa mtindo tutarajie mabaya kwa cdm.
Migogoro na timuatimua ni dalili tosha ya chama kinachoyumba. Hao jamaa ndiyo walikuwa nguzo ya CHADEMA Arusha na kuwafukuza ni kujichimbia kaburi. Watajipanga, watarudi kuwpa kichapo kitakatifu hadi mjutie maamuzi yenu ya kukurupuka. Kwanza mliwapa nafasi ya kujitetea? Mlisoma mazingira ya mgogoro? Mlirekebisha tofauti?
haya ndiyo yanaitwa maamuzi magumu ambayo ccm haiwezi kudhubutu kuyafanya.bado shibuda tumalize kesi
Huu sasa ndio mwisho wa Chadema. Hakika Chadema wameshindwa kusoma alama za nyakati kama walivyoweza kwa Shibuda.
Natabili hata uchaguzi wa madiwani ukirejewa kwenye kata hizo zote tano CHADEMA watapoteza,
Dr Slaa na Mbowe wanawapeleka pabaya Chadema.

Wahenga wanatuambia, vita vya panzi, furaha ya kunguru! Binafsi, sikubaliani na misimamo ya wanazi wa cdm! Bado siamini kwamba best option ya kutatua migogoro kwenye vyama ni kutimuana! Historia inatuonesha kwamba, NCCR ilipotea kwenye ramani kutokana na mtindo huu huu wa kutimuana timuana kwa kile ambacho na wao walikiita kuondoa mamluki! Viti 3 vya ubunge ambavyo leo hii vipo NCCR kule KGM na matunda ya staili hii ya cdm! Ina maana hiyo ndiyo pekee ya kutatua migogoro ndani ya chama?! Am afraid kwamba staili hii ya msimamo mkali itaipeleka cdm pabaya! Na busara unayoihitaji mtoa mada ni kwamba ilishaachwa kutumika tangu kitambo! Ni kwanini uongozi wa juu wa cdm haukuenda Arusha kama ambavyo madiwani wale walivyokuwa wanadai?! Haiwezekani nusu ya madiwani wamlalamikie Lema na kuomba uongozi wa juu kwenda kuchunguza na bado uongozi ukapuuza maombi hayo!! Ni wapi hiyo busara?! Ningekuwa ni mpenzi au mwanachama wa cdm basi nisingesita kusema waziwazi kwamba staili ya uongozi ya akina Lema haitafikisha cdm pale inapotakiwa kufika!! cdm watakuwa wanafanya kosa sana wakihadaika na wapiga pinje wa JF ambao wengi wao sio wapiga kura! Mwenye macho haambiwi tazama, kwa mtindo tutarajie mabaya kwa cdm.