Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,549
Panya roads inabidi wapigwe wakamatwe ila wasiuwawe.
Kumbukeni kwa hali ilivyo nchini hawa watoto ni wakuwaonea huruma.
Wenzao wazazi wao wanawatimizia mahitaji yote muhimu, chakula, malazi na mavazi, wao wanajitegemea kwa sababu baadhi yao hawana wazazi, au maisha magumu nyumbani.
Wale ni watoto kiumri inapaswa wakamatwe wapelekwe chuo cha maisha (gerezani) wasaidiwe kisaikolojia.
Najua kwa tamko la RC wengi watauawa. Hii itasabisha laana kubwa sana kwa taifa.
Hao wasio na hatia wakifa..kuna tukio baya sana litaikuta nchi yetu.
Nawasilisha.