RAI: Mustakabal wa CHADEMA - CHADEMA and the way forward

Kifyatu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
3,382
Reaction score
3,224
Hii ni RAI kwa chama cha CDM kwa sababu inaniuma kuona LULU inasagwa na kuwa vumbi.

Mimi sio nguli wa siasa lakini ninajua madudu ya kisiasa ninapoyaona.

Viongozi wote wa siasa lazima wawe wavumilivu (THICK SKIN_ED).
Tuko sisi mburura (nimelipenda hili neno ingawaje sijui maana yake vizuri - bali najua sio la kujivunia) ambao tutawatusi, kuwakejeli, kuwadhalilisha, na kuwadharau kiasi kwamba hata mbwa wako huwezi kumfanyia hivyo. Nyie mnapaswa kutuvumilia (roll with the punches) na kutujibu kwa mantiki (respond objectively).

Kwa nini?
Kwa sababu tunaotupia madongo viongozi pengine ni asilimia moja (1%) ya wananchi. Sasa utawatosa waTanzania wote (99%) kwa ajili ya sisi mburula wachache. Tumesema mengi: Mbowe this - Slaa that- Zitto -who?, Kitila - what? and so on...

RAI
Hii ni rai yangu.

CHADEMA-sasa hivi hamdemi (hamjikongoji) tena - (you are a force to be reconned with. ACT IT!!)

Itisheni Mkutano wa Usuluhishi (Party Reconciliation Meeting)

Katika kipindi kifupi sana (kutegemea na katiba yenu) itisheni mkutano mkuu na kuuita MKUTANO wa kusuluhisha chama na wanachama wake.

Hapa wanachama wote (wa sasa na waliofukuzwa) wakaribishwe. Huu sio mkutano wa kutajana nani mkosefu au msaliti (naomba msilitumie hili neno msaliti tena - it has a religious connotation - or maybe it is just me) bali ni mkutano wa upatanishwaji. Katika mkutano huu, yafuatayo yafanyike:

  • Wanachama hai wahamasishwe
  • Waliofukuzwa ambao bado wanakipenda chama warudishwe kwenye ngazi stahiki (maybe just plain member) bila ya masharti.
  • Wanachama walio na mgogoro na chama ambao watataka wabaki (kundini) waruhusiwe - unconditionally.
  • Futeni kesi zote zilizopo mahakamani hivi sasa.
  • Chama kitoke na kauli moja kuwa mpo pamoja kupigania UMMA.

Kumbukeni: Hakuna CDM, CCM, TLP, NCCR-Mageuzi, etc.
Kuna:Tanzania tu.
 
Hili sikubaliani nalo, kabla ya majadiliano yoyote Slaa na Mbowe waachie ngazi kwanza then reconciliation meeting
 
chadema ni kikundi kidogo cha wapiga dili kinachojificha kwenye mwamvuli wa chama cha siasa.dr slaa hana shida ya urais, shida yake ni ruzuku tu. ndio maana ruzuku haifiki mikoani inaishia makao makuu tu
 
Kuna vitu vya kuongelea lakini siyo jambo kama hili ....eti kusuluhisha? Kuna ugomvi kati ya wanachama au viongozi hadi wahitaji usuluhishi?

Watu wamejiunga na maadui na kutaka kuzamisha chama halafu eti wasuluhishwe? Waende huko wanakolipwa hivyo vipande vya pesa!

Jaribio kama hili itakuwa ni kujifunga kitanzi....hakuna anayehitaji upuuzi huo!
 
mkuu Kifyatu wazo lako naamini linatoka moyoni ila naskitika kwamba utaishia tu kuumia roho yako.unachopigania, tulishapigania sana na tulichogundua n kwamba mgogoro uliopo ni wa kupangwa na unaratibiwa.
 
Last edited by a moderator:
Hii ni RAI kwa chama cha CDM kwa sababu inaniuma kuona LULU inasagwa na kuwa vumbi.

Mimi sio nguli wa siasa lakini ninajua madudu ya kisiasa ninapoyaona.

Viongozi wote wa siasa lazima wawe wavumilivu (THICK SKIN_ED).
Tuko sisi mburura (nimelipenda hili neno ingawaje sijui maana yake vizuri - bali najua sio la kujivunia) ambao tutawatusi, kuwakejeli, kuwadhalilisha, na kuwadharau kiasi kwamba hata mbwa wako huwezi kumfanyia hivyo. Nyie mnapaswa kutuvumilia (roll with the punches) na kutujibu kwa mantiki (respond objectively).

Kwa nini?
Kwa sababu tunaotupia madongo viongozi pengine ni asilimia moja (1%) ya wananchi. Sasa utawatosa waTanzania wote (99%) kwa ajili ya sisi mburula wachache. Tumesema mengi: Mbowe this - Slaa that- Zitto -who?, Kitila - what? and so on...

RAI
Hii ni rai yangu.

CHADEMA-sasa hivi hamdemi (hamjikongoji) tena - (you are a force to be reconciled with. ACT IT!!)

Itisheni Mkutano wa Usuluhishi (Party Reconciliation Meeting)

Katika kipindi kifupi sana (kutegemea na katiba yenu) itisheni mkutano mkuu na kuuita MKUTANO wa kusuluhisha chama na wanachama wake.

Hapa wanachama wote (wa sasa na waliofukuzwa) wakaribishwe. Huu sio mkutano wa kutajana nani mkosefu au msaliti (naomba msilitumie hili neno msaliti tena - it has a religious connotation - or maybe it is just me) bali ni mkutano wa upatanishwaji. Katika mkuta huu, yafuatayo yafanyike:

  • Wanachama hai wahamasishwe
  • Waliofukuzwa ambao bado wanakipenda chama warudishwe kwenye ngazi stahiki (maybe just plain member) bila ya masharti.
  • Wanachama walio na mgogoro na chama ambao watataka wabaki (kundini) waruhusiwe - unconditionally.
  • Futeni kesi zote zilizopo mahakamani hivi sasa.
  • Chama kitoke na kauli moja kuwa mpo pamoja kupigania UMMA.

Kumbukeni: Hakuna CDM, CCM, TLP, NCCR-Mageuzi, etc.
Kuna:Tanzania tu.

Nyie vibaraka wa wasaliti hamwezi kubadili msimamo wa chama, mbona kwa hamad rashidi na kafulila hamkujitokeza wanafiki wakubwa nyie
 
Kuna vitu vya kuongelea lakini siyo jambo kama hili ....eti kusuluhisha? Kuna ugomvi kati ya wanachama au viongozi hadi wahitaji usuluhishi?

Watu wamejiunga na maadui na kutaka kuzamisha chama halafu eti wasuluhishwe? Waende huko wanakolipwa hivyo vipande vya pesa!

Jaribio kama hili itakuwa ni kujifunga kitanzi....hakuna anayehitaji upuuzi huo!

na kwa wenzetu wasaliti kama hawa ni kitanzi tu. watanzania maelufu wamefungwa na kupoteza maisha kwakukipigania chama alafu wapuuzi wachache wanapewa rupia kusaliti wenzao nyok.
 
Nyie vibaraka wa wasaliti hamwezi kubadili msimamo wa chama, mbona kwa hamad rashidi na kafulila hamkujitokeza wanafiki wakubwa nyie

Nashukuru kwa kuwashushua hawa vibaraka.Wameumbuka hawana pa kushika wanadhani Chadema inacheka na Kenge
 
Hii ni RAI kwa chama cha CDM kwa sababu inaniuma kuona LULU inasagwa na kuwa vumbi.

Mimi sio nguli wa siasa lakini ninajua madudu ya kisiasa ninapoyaona.

Viongozi wote wa siasa lazima wawe wavumilivu (THICK SKIN_ED).
Tuko sisi mburura (nimelipenda hili neno ingawaje sijui maana yake vizuri - bali najua sio la kujivunia) ambao tutawatusi, kuwakejeli, kuwadhalilisha, na kuwadharau kiasi kwamba hata mbwa wako huwezi kumfanyia hivyo. Nyie mnapaswa kutuvumilia (roll with the punches) na kutujibu kwa mantiki (respond objectively).

Kwa nini?
Kwa sababu tunaotupia madongo viongozi pengine ni asilimia moja (1%) ya wananchi. Sasa utawatosa waTanzania wote (99%) kwa ajili ya sisi mburula wachache. Tumesema mengi: Mbowe this - Slaa that- Zitto -who?, Kitila - what? and so on...

RAI
Hii ni rai yangu.

CHADEMA-sasa hivi hamdemi (hamjikongoji) tena - (you are a force to be reconciled with. ACT IT!!)

Itisheni Mkutano wa Usuluhishi (Party Reconciliation Meeting)

Katika kipindi kifupi sana (kutegemea na katiba yenu) itisheni mkutano mkuu na kuuita MKUTANO wa kusuluhisha chama na wanachama wake.

Hapa wanachama wote (wa sasa na waliofukuzwa) wakaribishwe. Huu sio mkutano wa kutajana nani mkosefu au msaliti (naomba msilitumie hili neno msaliti tena - it has a religious connotation - or maybe it is just me) bali ni mkutano wa upatanishwaji. Katika mkutano huu, yafuatayo yafanyike:

  • Wanachama hai wahamasishwe
  • Waliofukuzwa ambao bado wanakipenda chama warudishwe kwenye ngazi stahiki (maybe just plain member) bila ya masharti.
  • Wanachama walio na mgogoro na chama ambao watataka wabaki (kundini) waruhusiwe - unconditionally.
  • Futeni kesi zote zilizopo mahakamani hivi sasa.
  • Chama kitoke na kauli moja kuwa mpo pamoja kupigania UMMA.

Kumbukeni: Hakuna CDM, CCM, TLP, NCCR-Mageuzi, etc.
Kuna:Tanzania tu.

Bahati yako umeanza kwa kuomba radhi... hiyo ni ishara ulichokuwa unaandika hakikupendezwa na nafsi yako ukajifanya ku-force...

Naomba nikuulize... Hivi CHADEMA kuna ugomvi? Kama upo ni nani dhidi ya nani..... Je, Kamati Kuu imefikia hatua ya kutoweza kuyatatua mambo yao wenyewe ndani???
 
na kwa wenzetu wasaliti kama hawa ni kitanzi tu. watanzania maelufu wamefungwa na kupoteza maisha kwakukipigania chama alafu wapuuzi wachache wanapewa rupia kusaliti wenzao nyok.

Kuleta bandiko la kijinga kama hili hapa jamvini tayari ameshakinga mikono Lumumba kuingiza siku.
 
Nyie vibaraka wa wasaliti hamwezi kubadili msimamo wa chama, mbona kwa hamad rashidi na kafulila hamkujitokeza wanafiki wakubwa nyie

ni kweli kabisa Naghenjwa, hawa watu wanajifanya wema kweli kumbe hakuna kitu. unafiki mtupu.
 
Bahati yako umeanza kwa kuomba radhi... hiyo ni ishara ulichokuwa unaandika hakikupendezwa na nafsi yako ukajifanya ku-force...

Naomba nikuulize... Hivi CHADEMA kuna ugomvi? Kama upo ni nani dhidi ya nani..... Je, Kamati Kuu imefikia hatua ya kutoweza kuyatatua mambo yao wenyewe ndani???

Eehe, hapa kuna kazi.

Mimi ni mTanzania lakini siko Tanzania na wala sio mwana chama wa chama chochote kile. Nimekipenda CHADEMA kama chama mbadala wakati Tanzania ilipoanza siasa za vyama vingi (plural politics) mpaka hivi sasa. Kama unafikiri kuwa mimi pia ni msaliti wa CHADEMA - GOD Bless.

YES - CHADEMA kuna ugomvi: Zitto, Kitila, Samson, Yona, Mbowe, Slaa, Lissu, Mahakama, ... please stop me any time!

Kamati kuu ina uwezo wa kufikia maamuzi muafaka na ndio maana nimetoa rai yangu. Sitaki kuingia kwenye malumbano na wewe yenye mzunguuko. Nadhani nimejieleza vizuri mkuu.
 
hatuna muda wa kucheka na vibaraka vya magamba,
mleta mada naona katumwa na wasaliti kusikilizai ati? nyankundo!!!???
 
Back
Top Bottom