Rai: Lowassa atishiwa kifo

Kufikia Oktoba 2015 watatishiana sana tu. Its just the beginning!

UN wamesema kuna uwezekano na albinos wengi zaidi wakauwawa kutokana na wanasiasa wengi watakaokwenda kwa waganga mwaka huu.
 
Mtamuacha Lowassa akiwa ngagari hivi hivi. Na rais wetu ndio huyo hakuwa mwingine mwenye mvuto.
 

AIaa, kumbe!!
 
Kifo kipo ili kubalance maisha ya viumbe wote waliohai, kisingekuwepo kifo basi tusingekuwa na upenyo wowote. Hivyo hakuna kitu inamuhimu duniani kote kama kifo, but akifa ampe Hi nanihi amwambie Watanzania kunakitu tunamis tunawaza kukirestore.
 
Watu wakisikia jina Lowasa humu mavi yanawabana eti? he is the president to come on october 2015. hata mfanye vipi lazima awe rais wa nchi hii., kama hautaki hamia malawi
 
Mti wenye matunda yaliyoiva ndio unaopigwa MAWE wacha wamtaje tuu atuingie akilini
 
Mti wenye matunda yaliyoiva ndio unaopigwa MAWE wacha wamtaje tuu atuingie akilini
Nikweli lakini sio matunda yote huliwa na binadamu, pia mti mingine hutupiwa mawe kwasababu binadamu huiona hainanufaa kwake.
 

mkuu hata wewe unaweza kutangaza nia hujazuiwa.nchi ni yetu sote.
 
Kweli Tanzania hii kuna wababe, yaani hadi Lowasa anatishiwa kuuwawa?
 
We nyambafu, usilitaje jina lashetani bure, nani kakwambia shetani anaombea watu wafe.

Kama ukiwa mtakatifu na ukifa unaenda mbinguni unadhani atakuombea ufe?

Kumbe bowlibo we ndo shetani!!!!hahahaaa unaogopa hata kutajwa.ndo ukome kutoa roho za watu ISS mkubwa wewe unaenyemelea roho za watu.kuna siku utakata shingo yako mwrnyewe gaidi mkubwa
 
Watu wakisikia jina Lowasa humu mavi yanawabana eti? he is the president to come on october 2015. hata mfanye vipi lazima awe rais wa nchi hii., kama hautaki hamia malawi
Mzee kwa ufisadi anafaa sana lakini siyo kwa uongozi wa nchii hii kama ni ufisadi anasubiri kuapishwa tu.
 
Kweli Tanzania hii kuna wababe, yaani hadi Lowasa anatishiwa kuuwawa?
Mkuu huyu mzee anajitisha mwenyewe tu ameona afya yake inazidi kuzoofika sasa anatafuta wa kumpakazia kusababisha kifo chake.
 

Mmmh hii hadi inasisimua
 
Okay,kumbe katishiwa tu,sio mbaya sana.
Mi nilijuwa kafa,kumbe mzima bana!!
 
Mungu anaweza akasikia Sara zetu akatuhepusha na kikombe Lowassa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…