[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Ngoja waje watokwa povu wakushambulie mkuu Mshana jr. Hata huko uingerezea juzi kati hapa bunge lao lilizungumzia hili swala.
Mimi ni mpinzani no moja wa kupinga matumizi ya mmea hata post nilishawahi kuweka lakini kila kitu sio negative kivile tunaangalia maslahi mapana ya TaifaYawezekana mtoa mada ni mvuta bangi.
Kule uholanzi, bangi na uchangudoa vimehalalishwa na serikali ya huko inapata kodi mingi tu kupitia mmea huu. Pesa hizo hizo, tunazipata kama msaada. Sioni mantiki ya kukubali misaada kutoka nchi hio yenye kipato tunachoamini ni haramu.Hizi mambo siku zikihalalishwa basi hata watumiaji watapungua, hulka yetu wanadamu ni kupenda kitu kinachokatazwa(hasi, haramu).
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hata mimi nakubaliana na wewe, waruhusu pia Malaya kujiuza ili mradi wawekewe utaratibu wa kupimwa mara kwa mara na kulipa kodi, kwa hili nadhani tutapata uungwaji mkono wa baadhi ya wabunge wa ccm akiwemo msukuma
Kuna mapato mengi sana yanapata hapa na kwa mfano mmea una mpaka wateja ambao ni prominent leadersMkuu umeongea ukweli mzito,familia nyingi zinasomesha kupitia hizi bidhaa.
Baadhi ya Polisi wana uhakika wa kupata chochote toka kwa kina mama muuza.
TFDA na TBS vyema washirikishwe kwenye huu mpango mkakati wa urasimishaji
Mateja watapungua kwani watapata kitu mbadala cha kuwastimusha.
Kwa hili kidogo kwangu naweza kusema lisubiri kidogo kwakuwa linajumuisha mambo mengiOk coz nchi za wenzetu ni biashara kubwa sn inayoongeza pato la taifa lakini lazina zitungwe sheria elekezi ili kuzuia magonjwa na mambo mengine