Hongera kwa mpasho bibi, sadaka yatolewa bila mkono wa kushoto kujua lipi limetolewa kwa mkono wa kulia. Hofu imetolewa hakuna haja ya kutoa matusi. Hukmu yake inahitaji muda, vuta subira uone mambo kama yatatimia.Tatizo la wadanganyika wengi ni wivu, chuki, fitina, uroho, upumbavu, ujinga n.k.
Kwani mtu kuwa na pesa zake na kuutaka ubunge ni kosa? Mbona Mzee Ndesa ni bilionea na bado ni mbunge? Mbona mama Lwakatare ni bilionea na bado ni mbunge? Wakili Mkono na wengine wengi ni mamilionea wa kutupwa na bado wanang'ang'ania ubunge sembuse huyo al hadoud? Chuki zenu zinawapeleka pabaya na hasa pale mnapozionyesha hadharani kuhusu mtu fulani au jamii fulani au kikundi fulani.Leo mnalilia maximo mwingine wakati pesa za kumlipa zinatoka ikulu,kwanini msiamue kuchangia wenyewe na kumlipa ili hizo za ikulu zinunue madawati?
Amejitokeza mwanamama shupavu wa kuchangia taifa lake katika michezo mnaanza ooh ushuzi, kajamba mtakufa bure na vijiba vya roho.Acheni ujinga fanyeni kazi na si kufuatilia mambo ya watu,taifa masikini kwa mtaji huo lazima mtaendelea kuwa masikini wa kutupwa na kutawaliwa kila siku. Najua hapo angekuwa anatoa misaada yule ambaye si miongoni mwa mliyetumwa kuwatenga katika mipango yenu basi mngeanza kumsifia yule anafaa sana.
Upumbavu huo hautoisha hadi mbadili yaliyomo katika vifua vyenu. Nimekumbuka mhanga mmoja alisema "La kama mngeyajua yaliyomo vifuati mwao wala msingewafanya hao kuwa marafiki na vipenzi vyenu", sasa chuki zao zimeanza kujionyesha hadharani.
Ukichukia chukia kwasababu huniongezei siku za kuishi hapa duniani,muda wangu ukifika nitajifia na si kuendekeza ujinga na upuuzi wa aina hiyo.
Mungu ibariki Tanzania.
Aliwataja walioahidi kutoa fedha hizo kuwa ni pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba aliyeahidi Sh. Milioni 20, Superdol Sh. Milioni 3, Scandinavia Sh. Milioni 2, hoteli ya Paradise Sh. Milioni 2, familia ya Kapinga Sh. Milioni 1.5 na Mkurugenzi wa Masoko na Udhamini wa Vodacom Sh. 300,000
Nimemuona huyu mrembo nami nikashtuka na kuwaza mbona ameamua kujitokeza kwenye public??
Niliwahi kudokezwa na mtu ambaye yuko 'connected' kwamba huyu mama ndo bi mdogo.
Kwa update tu, jana amemwaga Tsh. 10 million kwa kituo cha watoto yatima kigamboni kinachomilikiwa na Mwanamitindo Khadija Mwanamboka.
TV station zote hapa mjini zilirusha tukio hilo kwenye taarifa zao za habari kwa kina na nafasi kabisa!!
Haluuu, nilikuwa najiuliza sana huyu mwanamke ametokea wapi ghafla namna hii?? na anatafuta nini kwa kumwaga pesa namna hii?? kumbe ni small house!! da sasa waTZ hizi nyumba zetu ndogo tunaziendekeza mno KHAAAAAAAAAAAAAAAAA! kumbe mkuu wa kaya ana balaa namna hii haya wadanganyika sasa mpira kwenu hapo kuna KIONGOZI kweli?
Wa JF wenzangu, naomba tujitahidi kutenganisha, tetesi na habari ambazo ni too personal na kutochanganya privacy za watu na puclic rights.Niliwahi kudokezwa na mtu ambaye yuko 'connected' kwamba huyu mama ndo bi mdogo.
Mnamuonea huyu dada. Kumbe alianza zamani kuchangia soka la wakina mama!
Amandla....
Wa JF wenzangu, naomba tujitahidi kutenganisha, tetesi na habari ambazo ni too personal na kutochanganya privacy za watu na puclic rights.
Huyo mama ni Mtanzania kama walivyo watanzania wengine, anazo haki zake kikatiba kugombea nafasi yoyote kupitia chama chochote na wala isiwe issue, kama ilivyo kwa Riz, lazima atachukua fomu ya ubunge 2010 ili 2015 aukwae uwaziri na 2025 apande ghorofani.
Ila pia Mkuu wa nchi ni publi figure paid by taxpayers money, hivyo taxpayers wana right ya kuijua his public as well as his private life/conduct kwa sababu analipwa kwa jasho lao.
Hivyo mimi nauliza hivi, kama hii issue ya 'jumba dogo' ni kweli, Watanzania tunahaki ya kupatiwa taarifa rasmi, mbona Mzee Mwinyi it was rasmi Bi Khadija na Mama Sitti, na ikakubalika the official one ni Mama Sitti. Hivyo hata kama Mama Salma ndio official 1st Lady, tunahaki ya kumtambua ma-mdogo ambae ni 2nd Lady.