Rahaa, Karaa?

ruaaika

Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
52
Reaction score
9
Kama unafahamu au umewahi mwona anavyo nyemelea, anavyo jipinda, anavyo simamia kucha achilia mbali wasiwasi alionao! lakini haachi! hivii, chabo, inaraha au karaha?
 
Mods inabidi muanzishe jukwaa la watoto kama huyu!!!!!!!!!!!!!
Ni raha kwa watoto watukutu ambao ndio wanaanza kubalehe!!!
 
Mods inabidi muanzishe jukwaa la watoto kama huyu!!!!!!!!!!!!!
Ni raha kwa watoto watukutu ambao ndio wanaanza kubalehe!!!
halafu watoto hao watukutu wamezianza bangi mapema mpaka zishaharibu ubongo
 
hii ni kwa waliowahi kufanya hilo tukio. kwangu sina comment yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…