Raha za treni la mwakyembe!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,951
Kwa watumiaji wa treni la Mwakyembe watakubaliana nami kuwa kuna raha zake !
Mojawapo ni kama hizi
  • ni sehemu nzuri ya kukutana na watu wapya'
  • Kuna kla aina ya watu warembo,watanashati mahandsome,nk
  • uNAWEZA UKATAMANI KUENDELEA nalo Hadi BAGAMOYO!,
  • Achilia mbali wale ndugu wanaotoka kazini saa 11 wanakaa Glosary ya reli hadi tripu ya saa 2 pamoja na kuwa huudma za pale bado sna!
  • AU NASEMA UONGO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…