Raha ya wanawake wafupi

Raha ya wanawake wafupi

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,951
Nawasalimia wana JF.

Hebu leo ngoja niongelee ka utafiti kangu nilikokafanya. Kwanza mimi ni mrefu wa wastani naweza kusema nipo na 180.3cm.

Nimetokea kuwapenda sana wanawake wafupi. Kwanza hawa wanawake wanajituma sana katika kila kona.

Ni wabishi sana na hawapendi kushindwa. Pia ni wakorofi sana hawapengi kuona msichana mwingine anachukua bwana wake. Lazima kinuke.

Wanawake wafupi walio wengi ni wasafi sana wanapenda kuvaa vizuri. Kwa kweli ule ukorofi wao huwa naupenda sana nahisi ninapendwa na nipo na ulinzi.

Halafu hawa wanawake walio wengi wanajua kupika tena chakula kizuri sana.

Hawa wanawake wafupi hupenda kuonesha mahaba kwa wapenzi wao. Wapo tayari kupigana busu la ulimi hadharani bila hata woga. Huonesha hisia zao hadharani bila kuficha.

Kwa kweli kutokana na uafiti wangu huu wa sample ya watu kadhaa. Watu wafupi wamepata 79% katika kuonesha mapenzi ya dhati. Na kwakweli wanatoa raha ya ukweli. Walio wengi sio magogo.

Nawasilisha hoja.
 
Nawasalimia wana JF.

Hebu leo ngoja niongelee ka utafiti kangu nilikokafanya.
Kwanza mimi ni mrefu wa wastani naweza kusema nipo na 180.3cm.

Nimetokea kuwapenda sana wanawake wafupi.

Kwanza hawa wanawake wanajituma sana katika kila kona. Ni wabishi sana na hawapendi kushindwa. Pia ni wakorofi sana hawapengi kuona demu mwingine anachukua bwana wake. Lazima kinuke.
Mademu wafupi walio wengi ni wasafi sana wanapenda kuvaa vizuri.

Kwa kweli ule ukorofi wao huwa naupenda sana nahisi ninapendwa na nipo na ulizi.

Halafu hawa wanawake walio wengi wanajua kupika tena chakula kizuri sana.

Hawa wanawake wafupi hupenda kuonesha mahaba kwa wapenzi wao. Wapo tayari kupigana busu la ulimi hadharani bila hata woga. Huonesha hisia zao hadharani bila kuficha.

Kwa kweli kutokana na uafiti wangu huu wa sample ya watu kadhaa. Watu wafupi wamepata 79% katika kuonesha mapenzi ya dhati. Na kwakweli wanatoa raha ya ukweli. Walio wengi sio magogo.

Nawasilisha hoja.
kuna kaukwel flan hv aisee maana yake hata mie niliwah kuwa na kibushuti naona mengi kama yanaelekea!
 
Back
Top Bottom