Raha ya tendo

Raha ya tendo

Jogoo10

Senior Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
100
Reaction score
11
Niko mbele wana MMU kwa heshima na tadhima najua wengi mna ufahamu kuhusu hili. Nasikia katika tendo la ngono mwanamke ndiye anaepata raha zaidi, je hili ni kweli?. Kama kweli raha zaidi anapata akiingiwa uume juu juu, kati au hadi yote? Kwenu wadau.
 
Mmh...ngoja waje wataalam wa mambo.
 
Niliwahi kusoma mahali eti KE husuuzika mara nne zaidi ya ME akifishwa nchani...
 
Hm mbona sisi wanaume ndotuna watafuta wao hawatutafuti.
 
we me au ke? je ushawah kushirki hlo tendo na kama ulishrik ulipata raha au karaha?



utamu wa pip mate yakooo...............
 
Umri wako tafadhali,halafu nitakupa jibu zuriii mwenyewe utafurahi naroho yako.
 
wote wanapata raha labda itokee mmoja hana uwezo wa kumfurahisha mwenzake ipasavyo
 
Back
Top Bottom