Foffana JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 3,077 Reaction score 5,284 Jan 14, 2026 #21 Watu wanaokunywa pombe wanashangaza sana
Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,557 Reaction score 2,539 Jan 14, 2026 #22 DR SANTOS said: Ndugu nikajua bia yenye alcohol kubwa ni bingwa!? Kumbe zipo zingine inaitwaje hio Click to expand... Bingwa ni ya wastani... kubwa kabisa zinafikia alcohol % ya 15
DR SANTOS said: Ndugu nikajua bia yenye alcohol kubwa ni bingwa!? Kumbe zipo zingine inaitwaje hio Click to expand... Bingwa ni ya wastani... kubwa kabisa zinafikia alcohol % ya 15
T The lariat JF-Expert Member Joined May 16, 2025 Posts 1,351 Reaction score 1,921 Jan 14, 2026 #23 The Icebreaker said: Kwani lengo la kunywa Pombe hua ni lipi hasa? Click to expand... Kutuliza mawazo huku ukiangalia ma barmaid wanavyo tingisha matako
The Icebreaker said: Kwani lengo la kunywa Pombe hua ni lipi hasa? Click to expand... Kutuliza mawazo huku ukiangalia ma barmaid wanavyo tingisha matako
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 58,066 Reaction score 166,584 Jan 14, 2026 #24 Foffana said: Watu wanaokunywa pombe wanashangaza sana Click to expand... Wanashangaza na kipi
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 38,028 Reaction score 117,545 Jan 14, 2026 #25 The lariat said: Kutuliza mawazo huku ukiangalia ma barmaid wanavyo tingisha matako Click to expand... Mkuu nimemuuliza huyo jamaa aliyekejeli kwa kusema kua hizo ni pombe za ma homeless ulaya,ndio maana nikamuuliza kwani lengo la kunywa pombe ni lipi?
The lariat said: Kutuliza mawazo huku ukiangalia ma barmaid wanavyo tingisha matako Click to expand... Mkuu nimemuuliza huyo jamaa aliyekejeli kwa kusema kua hizo ni pombe za ma homeless ulaya,ndio maana nikamuuliza kwani lengo la kunywa pombe ni lipi?
mwehu ndama JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 2,177 Reaction score 8,304 Jan 14, 2026 Thread starter #26 The Icebreaker said: Mkuu nimemuuliza huyo jamaa aliyekejeli kwa kusema kua hizo ni pombe za ma homeless ulaya,ndio maana nikamuuliza kwani lengo la kunywa pombe ni lipi? Click to expand... Hajielewi yule mkuu , na sisi tutalewa sanaa mwaka huu Attachments IMG20251231124133.jpg 550.5 KB · Views: 9
The Icebreaker said: Mkuu nimemuuliza huyo jamaa aliyekejeli kwa kusema kua hizo ni pombe za ma homeless ulaya,ndio maana nikamuuliza kwani lengo la kunywa pombe ni lipi? Click to expand... Hajielewi yule mkuu , na sisi tutalewa sanaa mwaka huu