Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,053
Nilisoma post yake mwenyewe akisema hivyo. Labda awe ameslimu hizi siku mbili tatuJidanganye
Nilisoma post yake mwenyewe akisema hivyo. Labda awe ameslimu hizi siku mbili tatuJidanganye
Asante tena mkuu kwa mwendelezo wako wa msisitizo si kama yule nanihii anayeandika na kujiaminisha yeye mwenyewe,Nilisoma post yake mwenyewe akisema hivyo. Labda awe ameslimu hizi siku mbili tatu
Anatumika na nani?Tangu msajili wa vyama vya siasa nchini kumtambua Prof Lipumba kuwa mwenyekiti halali wa Cuf, sijamsikia Juliasi Mtatiro ambaye alikuwa akishinda katika mitandao ya kijamii kuhakikisha anajibu hoja na kuzima hoja zote ambazo zilikuwa positive kwa Prof. Lipumba.
Mtatiro ajitokeze atoke huko mafichoni alipo na kuendeleza mapambano yake na Prof. Lipumba kama ana ubavu, ilikuwa haipiti siku mbili bila ya kumsikia Mtatiro akitema cheche huku akisapotiwa na kundi linaloshinda mtandaoni la wa chadema wanaojulika kwa jina la ULIPO TUPO, amabao walikuwa wakimtumia kwa maslahi ya chama chao, sijui kama amwenyewe alikuwa akilitambua hili au kwa makusudi aliamua kutumika kuisambaratisha Cuf.
Mtatiroi rudi tumekumis ila safari hii jifunze kuweka akiba ya maneno kwa kuwa siasa za bongo hazitabiriki na ni kizungumkuti.
Aje kutwambia hatma yake na waasi wenzake wana mikakati gani kwa maana hali inavyonyesha sasa kuwa ndio mwinzo wao wa kisiasa ndani ya chama hicho.
wanafanya divide and rule propagandaWatu wanatima post za kijinga na mods wanaziacha mnajazaga server bure mtatiro lini akawa mwislamu na gemu bado bichi mnaongea maujinga
usamehewe hujui unenalo mbona hawataki kuachia ngazi ili tuone hao upinzani wakiua nchi.hivo ulivotaja viko kila kona no exceptionals so better keep quite.Chama cha Siasa Tanzania ni CCM Mkuu.Hata kama itakuwa mbovu kiasi gani,it way better than vyama vya Upinzani.Vinanuka UBINAFSI,VITEGA UCHUMI,UDINI,UKABILA,MASLAHI BINAFSI.Ikitokea vikashika DOLA TU,Nchi INAKUFA NDANI YA MIAKA 2 COMPLETELY..........................
Waachie ngazi wamwachie nani ? Ni CCM tu daima dumu.usamehewe hujui unenalo mbona hawataki kuachia ngazi ili tuone hao upinzani wakiua nchi.hivo ulivotaja viko kila kona no exceptionals so better keep quite.
Atapewa kadi redKama tulivyo ona wote .Lipumba ndo hivyo tena kachukua uenyekiti wa cuf. Nini hatima ya mtatiro ndani ya chama?
Inakufa mara ngapi?Chama cha Siasa Tanzania ni CCM Mkuu.Hata kama itakuwa mbovu kiasi gani,it way better than vyama vya Upinzani.Vinanuka UBINAFSI,VITEGA UCHUMI,UDINI,UKABILA,MASLAHI BINAFSI.Ikitokea vikashika DOLA TU,Nchi INAKUFA NDANI YA MIAKA 2 COMPLETELY..........................