Raha ya mapinduzi ufanikiwe. Nini hatma ya Mtatiro, Seif na wengine!

Raha ya mapinduzi ufanikiwe. Nini hatma ya Mtatiro, Seif na wengine!

Tangu msajili wa vyama vya siasa nchini kumtambua Prof Lipumba kuwa mwenyekiti halali wa Cuf, sijamsikia Juliasi Mtatiro ambaye alikuwa akishinda katika mitandao ya kijamii kuhakikisha anajibu hoja na kuzima hoja zote ambazo zilikuwa positive kwa Prof. Lipumba.

Mtatiro ajitokeze atoke huko mafichoni alipo na kuendeleza mapambano yake na Prof. Lipumba kama ana ubavu, ilikuwa haipiti siku mbili bila ya kumsikia Mtatiro akitema cheche huku akisapotiwa na kundi linaloshinda mtandaoni la wa chadema wanaojulika kwa jina la ULIPO TUPO, amabao walikuwa wakimtumia kwa maslahi ya chama chao, sijui kama amwenyewe alikuwa akilitambua hili au kwa makusudi aliamua kutumika kuisambaratisha Cuf.

Mtatiroi rudi tumekumis ila safari hii jifunze kuweka akiba ya maneno kwa kuwa siasa za bongo hazitabiriki na ni kizungumkuti.

Aje kutwambia hatma yake na waasi wenzake wana mikakati gani kwa maana hali inavyonyesha sasa kuwa ndio mwinzo wao wa kisiasa ndani ya chama hicho.
 
Baada ya mambo kadhaa kila analogusa kugoma,kuanzia kugombea UBUNGE Mpaka uenyekiti wa CUF,Julius Mtatiro ataanza rasmi kumtumikia Allah.
Tumtakie kila la kheri.
 
Attachments

  • MTATIRO.jpg
    MTATIRO.jpg
    7.8 KB · Views: 49
Tangu Lipumba aliposema anapeleka shauri Kwa msajili,tulishajua majibu ya msajili.Kumbuka msajili wa vyama anateuliwa na mwenyekiti wa ccm.Lipumba ana kazi maalumu ya aliyotumwa na ccm baada ya ile aliyotumwa kwenda Rwanda kuishindwa.Nimemdharau sana huyu anayejiita profesa
 
Ajabu msajili huyo huyo alipomrudisha Mbatia, alikuwa sahihi ila leo kurudishwa kwa Prof Lipumba msajili anaonekana kibaraka wa ccm. nyie watu ni shidaaaaaaaa kabisa
 
Mtatiro ajue chama kina wenyewe yeye anakamilisha idadi tu na kukipa chama sura tofauti!
 
Ajabu msajili huyo huyo alipomrudisha Mbatia, alikuwa sahihi ila leo kurudishwa kwa Prof Lipumba msajili anaonekana kibaraka wa ccm. nyie watu ni shidaaaaaaaa kabisa
Hivi Mbatia nae aliwahi kupata vurumai hadi kuokolewa na msajili wa vyama!!!!!????
 
Mtatiro ajue chama kina wenyewe yeye anakamilisha idadi tu na kukipa chama sura tofauti!
kama Prof. Safari anavyokamilisha idadi, Chadema mwisho wa siku naye wamafanya yule mzee wa Mpanda aliyekuwa makamu mwenyekiti amabaye sasa anajuta kuifahamu cdm
 
Back
Top Bottom