ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,976
Ur not serious kabisa cuf ni ya maalimu sefu kama hujui?
Hebu lieleze jukwaa hili faida za Prof Lipumba kubaki M/kiti CUF zaidi ya kuinufaisha CCM?Kwani maamuzi ya ZNZ hayakuw hatari?
Kumbe hata shule hajamaliza!Mtatiro anasapu nyingi saana chuo anachosoma kwa sasa... arudi akachomoe
We ni lichadema unajulikana.--Pale chaguo la wengi linapovurugwa ili pandikizi liweze kufaulu kuingizwa likavuruge TENA./
NILIKUWA MWANA-CUF MTIIFU KUANZIA LEO HII NINAJITOA/ KUJIVUA UANACHAMA RASMI.
•MAAMUZI YA TULIOKUWA WENGI HAYAWEZI KUVURUGWA KWA JINSIA HII./
Mara zote msajili wa vyama vya siasa ndiye amekuwa muamuzi wa kukubali ama kubatilisha mapinduzi ya uongozi ndani ya vyama vya siasa.
Kwa historia tokea vyama vingi vianze kama sikosei ofisi ya msajili imeongozwa na majaji wa tatu;Wa kwanza marehemu Jaji Liundi,pili Jaji John Tendwa na sasa Jaji Mutungi.Kwa historia kidogo ofisi ya msajili imeshawahi kubariki kupinduliwa/kuondolewa wafuatao;
1.Augustine Mrema aliwashinda akina Marando,Lissu,Baregu na wengine ndani ya NCCR Mageuzi...hivyo ikawapasa kutafuta mlango wa kutokea baada ya mbinu zao kushindwa.
2.Mrema tena akiwa TLP aliwapindua waliotaka kumuondoa kwenye uenyekiti.
3.Mapalala alipinduliwa na akina Maalim Seif Cuf na ofisi ya msajili ikabariki.
4.Hamad Rashid aligongwa nyundo CUF na kuvuliwa umakamu mwenyekiti na uanachama.
5.Mbatia naye kabakizwa ofisini na uenyekiti Taifa NCCR Mageuzi na msajili dhidi ya mapinduzi yaliyoshindwa chini ya wasaidizi wake.
6.Kwa sasa Lipumba kashinda rufaa kwa msajili dhidi ya CUF.Kinachofurahisha ni kuwa wafuasi wengi wa CUF bara wamekuwa wakimuunga mkono dhidi ya Seif.
Raha ya mapinduzi ni ushindi....siioni nafasi ya Mtatiro kwa sasa ndani ya CUF na kuna siku nilionya kuwa anatumika kama "taulo",hasa ukizingatia hana wafuasi wanaomuunga mkono bara.Maalim Seif na wenzake zanzibar wanakazi kubwa kwani bosi wao sasa karudi na kimsingi Lipumba sasa atakuwa mwenyekiti haswa Natalie's chini ya Seif...atataka Seif amtii hapa patam ngoja tuweke akiba ya maneno.
Hebu lieleze jukwaa hili faida za Prof Lipumba kubaki M/kiti CUF zaidi ya kuinufaisha CCM?
***We ni lichadema unajulikana.
Unajifariji?..nyie "akili kubwa"...mbona hamna mfanyalo la maana?Wazee wa bangaboy mna akili ndogo sana. Huyu msajili wa CCM sasa ataiona rasmi nguvu ya wanacuf halisi dhidi ya pandikizi la ccm kulazimisha kumpa uenyekiti alioukimbia mwenyewe.
Wafuasi wa CUF & UKAWA dhidi ya wafuasi wa CCMLIPUMBA wanapokutana barabarani weraaaaaa naiona Misri ileeeeeee inakuja kwa raga zake...
Magamba mwambieni mwenyekiti wenu anahoja ya kujibu huko UN aende akajibu mwenyewe aache kuogopa lugha za watu
uko sahihi.Safari ya Mtatiro kwenda chama kingine ndiyo imeanza leo rasmi.
Bahati mbaya hana hata mtu wa kumuandamanisha labda apewe backup ya mamluki kutoka kwa waliokuwa wanamtuma.
Pole yake na pole nyingi kwa CUF wote maanake huu ndiyo mwanzo wa series nyingine ya migogoro kwenye siasa za nchi hii.
Kuendelea Kupiga AZANA Msikitini.CUF ni noma.Kama tulivyo ona wote .Lipumba ndo hivyo tena kachukua uenyekiti wa cuf. Nini hatima ya m!tatizo ndani yan chama?
Katibu mkuu ndie mtendaji mkuu nani atatekeleza maagizo ya m/kiti?Usimchukie m/kiti wa kudumu tena kumbuka anashabihiana sana na Dr Banda. Mleta hoja kauliza, ni nini hatma ya Mtatiro ndani ya CUF?? Jibu ni; Achape lapa tu kabla ya kupokea barua yake ya kufukuzwa . Hakuona sharif Mohamed alivyokaa bungeni hadi mwisho pamoja na mbewembwe za kumtimua na kumnyang'anya uanachama?? Leo haioni nafwasi anayoitembelea??
CUF iacheni hivyo hivyo, labda CCM iikatae.
Mkaruka;Kuendelea Kupiga AZANA Msikitini.CUF ni noma.
Katibu mkuu ndie mtendaji mkuu nani atatekeleza maagizo ya m/kiti?
Chama cha Siasa Tanzania ni CCM Mkuu.Hata kama itakuwa mbovu kiasi gani,it way better than vyama vya Upinzani.Vinanuka UBINAFSI,VITEGA UCHUMI,UDINI,UKABILA,MASLAHI BINAFSI.Ikitokea vikashika DOLA TU,Nchi INAKUFA NDANI YA MIAKA 2 COMPLETELY..........................Mkaruka;
O mwana weytu Julius ni Jumaa!!! Muraa, nkye bayee! Bamura beytu! Julius ni Jumaa!! Kweri, siyasa ni mucheso muchaphuu kapisa. Haya twamaha, ukorere mmbuya msani. Kweri nawenda kurara akiri imefuruchika kapisa