Raha ya mapenzi

Raha ya mapenzi

kinole1984

Member
Joined
Aug 4, 2017
Posts
65
Reaction score
50
Wana jf kuna swali huwa linaniumiza sana.

Please naomba tujadili hapa.

Ivi ukioa mwanamke aliyekuzidi mwaka 1 au 2 kuna tatizo lolote?
 
Wana jf kuna swali huwa linaniumiza sana.

Please naomba tujadili hapa.

Ivi ukioa mwanamke aliyekuzidi mwaka 1 au 2 kuna tatizo lolote?
Tatizo litakuwa ni wewe ukishindwa kumkula vizuri
 
Mbona kichwa Cha habari hakiendani na habari yenyewe mzee??

Ok ila Mimi nadhani hakuna tatizo. Kikubwa hakikisha mnapendana kwa dhati. Yasije yakakukuta Kama yangu.

Ntakuonea huruma
 
Mbona kichwa cha habari hakiendani na uzi wako mkuu?
Lakini pia kwa mujibu wa swali lako hakuna tatizo la kiumri kwenye mahusiano zaidi ni makubaliano yenu tu
 
Ukiweza tu kumkojoza hata awe ana umri sawa na marehemu bibi yako.!
Nilimkojozaga mmoja HIVi. Kumbe bwana alikuwa hajawahi kukojoa. Duuh aliniganda kinoma noma halafu Sasa alikuwa na mume.

Duh nkaona nimuepuke nisije nikajakufumuliwa kijambio changu. Nashukuru kwa Sasa yupo mbali nami
 
Nimekojoza wengi
 
Back
Top Bottom