Raha ya mapenzi usafi

Mmmmmmmmmmh kumbeee,,,umenisanua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani tujitahidi kuwa wasafi tunapokuwa faragha na wenzetu. Umetoka safari angalau jisafishe uondoe jasho, paka mafuta na marashi.

Usafi ni muhimu kwenye majambozz wapendwa tofauti na hapo ni kinyaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kupaka mafuta kwenyewe ni uchafu, usafi ni moja ya starehe na utamu mzuri kabla ya kufanya chochote
 
Mkuu tafadhali sana usiwapotoshe akina mama. Raha ya papuchi isafishwe kwa maji tupu.....bila kutumia sabuni wala kupaka perfume au mafuta. Raha ya papuchi iwe na harufu yake ya asili. Ukileta ujanja wa kuosha kwa sabuni na kupaka marashi unajitafutia matatizo ya kiafya.
Jamani tujitahidi kuwa wasafi tunapokuwa faragha na wenzetu. Umetoka safari angalau jisafishe uondoe jasho, paka mafuta na marashi.

Usafi ni muhimu kwenye majambozz wapendwa tofauti na hapo ni kinyaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani tujitahidi kuwa wasafi tunapokuwa faragha na wenzetu. Umetoka safari angalau jisafishe uondoe jasho, paka mafuta na marashi.

Usafi ni muhimu kwenye majambozz wapendwa tofauti na hapo ni kinyaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Marashi hapana mkuu ila usafi aisee muhimu kweli kweli kwa pande zote mbili. Imagine wale walamba koni au wanyonya chumvi alafu kuwe kuchafu, kinyaa chake usipime!!!
 
Jamani tujitahidi kuwa wasafi tunapokuwa faragha na wenzetu. Umetoka safari angalau jisafishe uondoe jasho, paka mafuta na marashi.

Usafi ni muhimu kwenye majambozz wapendwa tofauti na hapo ni kinyaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza falagha haihitaji ata mafuta kwanza.....unakuwa kama ulivotoka bafuni kwanza
 
Usafi Muhimu Sana hata Kama sio Kwa ajili ya kut*mb*na Unatakiwa kuwa Safi kila Siku, eg kuoga Mara 2,mswaki Mara 3, kunyoa nywele za Siri nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…