Huyo kwenye avatar ni wewe??Jamani tujitahidi kuwa wasafi tunapokuwa faragha na wenzetu. Umetoka safari angalau jiswafi uondoe jasho, paka mafuta na marashi. Usafi ni muhimu kwenye majambozz wapendwa tofauti na hapo ni kinyaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
nimetoka kapa sijaelewa shostiKama mumeo shoga ingia nae bafuni muoge wote,umsuguee mpaka nongo zote ziishe yanini kupakwa majasho wakati unaweza kufanya kitu?ila kama ni wa usiku mmoja kubali tuu matokeo..mkimaliza rudi kwako kajiloweke na omo..
Bafu lake paspot size na ni nyumba ya kupanga. Publik bafu na choo humo humo juu hakijaezekwaKama mumeo shoga ingia nae bafuni muoge wote,umsuguee mpaka nongo zote ziishe yanini kupakwa majasho wakati unaweza kufanya kitu?ila kama ni wa usiku mmoja kubali tuu matokeo..mkimaliza rudi kwako kajiloweke na omo..
Ni kweli kabisa.Jamani tujitahidi kuwa wasafi tunapokuwa faragha na wenzetu. Umetoka safari angalau jisafishe uondoe jasho, paka mafuta na marashi.
Usafi ni muhimu kwenye majambozz wapendwa tofauti na hapo ni kinyaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende basi kule makutano nikajione mwenyewe..! Natangulia ujue... [emoji125]