Raha ya kuwa single

Sikumbuki lini nilikuwa single, ila hayo yote nafanya.
 
Umeendeleza utetezi tena.
 
Hebu angalia inbox hakujajaa pm za wadada??? Make humu KE ukizungumzia habari za usingo Au ubachela na kuelezea mawazo yako tu ME wanajaa inbox as if umesema unatafuta mchumba mi hata siwaelewagi! Anyway kuwa single kuna raha na karaha pia
 
Nahisi umetumia kichwa changu kuwaza Mkuu.

Kiualisia mwanaume anaogopa sana commitment maana haimsaidii....ila panahitajika tu sehemu ya kupunguzia oil....Marriage is a price men pay for sex, whereas sex a price women pay for marriage....sasa kama kuna sehemu sex inapatikana bila malipo ya ndoa huoni hilo ni jambo la faida kwetu?
 
Kama uko stable financially ni kheri utafute mtu wa kutulia nae. Ila kama na wewe ni [HASHTAG]#nakulaujana[/HASHTAG] utajikuta una miaka 60 Mtoto wako anamiaka 3.
 
Umeamua kuchomoka kwa kutumia lugha ngumu kusudi. Inawezekana labda kutongoza ina maana nyengine tofauti na uelewa wangu. Lkn kwa mwanaume kamili kutongoza lazima
 
 

Uko sawa mkuu, na kama mtu unakuwa busy, una work hard unaingiza pesa, pa kupunguzia oil huwezi hangaika pia.
 
Ubaya wa single life ni upweke na kukosa dira na kasi ya maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…