Raha ya kutongozwa...lol

kutongozwa kunaraha yake afu ukute anaona aibu anashindwa kujieleza loh penda sana mimi.... mtu wa hivyo napenda akanitongozee sehemu ya vinywaji na si kwenye simu loh ... aaah hapo namzungusha hata mwezi loh
Haya Maua kwa Profile yako-'Manka'.
Hivi una Bustani nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…