hebu funguka mama,
inategemea na nini?
kutongozwa kunaraha yake afu ukute anaona aibu anashindwa kujieleza loh penda sana mimi.... mtu wa hivyo napenda akanitongozee sehemu ya vinywaji na si kwenye simu loh ... aaah hapo namzungusha hata mwezi loh
kwahiyo kumbe unamzungusha ili wewe uendelee kuenjoy jinsi anavyojikanyaga kanyaga kwako,
wajiona kama malkia fulani hivi eeeeh....
kutongozwa kunaraha yake afu ukute anaona aibu anashindwa kujieleza loh penda sana mimi.... mtu wa hivyo napenda akanitongozee sehemu ya vinywaji na si kwenye simu loh ... aaah hapo namzungusha hata mwezi loh
yani napenda afu ukute jibu najua ni hapana loh aaaa moyo wangu furahi sana
Inategemea unatongozwa na nani na swag pia za mtongozaji.
Kuna watu wanatongoza kama deni vile,mpaka inakuwa karaha!!
Mmh sijui ila naskiaga ni raha,