Raha ya kutongoza na kutongozwa

Raha ya kutongoza na kutongozwa

Hivi unapotongoza unapendelea kuwepo sehemu gani na akina dada hapo mnapotongozwa mnapendelea muwepo katika mazingira gani.

Kwa upande wangu mimi napendelea iwe kama tumejibanza ka kwa kona ivi ,au nyuma nyuma za nyumba na halafu mdada awe kama ameegeemea. wa nainjoy ile mbaya na karbu mara zote naibuka kidedea.

Ila kila mtu na apendavyo ,sijui wengine mnapendelea iweje au kwenye kuweka date kualikana chai kwa kimgahawa ni vipi yaani hebu tupeni elimu zaidi.

hivi we mwenzetu kutongoza ni daily activity ama?
 
Style za kupumulia hizo ,afu basi ikiingia kwenye shimo ndio unapapasa pa kukamata usije eti ukaanguka ,aloo siku moja niliangukia kwenye kwapa ,unajua mdada alikuwa si wa kawaida jinene nene kavaa zile nguo zao wanazozipenda makwapa wazi ,niliyajua yote hayo baada ya basi la uda yale maikarus kufunga brake za ghafula basi pua yangu ilijishindilia kwenye kwapa na lilikuwa limeroa kwa joto ,si unajua mabasi ya mjini yanavyojaa ,kilichoendelea hata sikujua ni kitu gani ni balaa tu!

Ha ha ha ha nimexhekaje
 
We dogo si ndio unalia lia kuachana na tabia ya kwenda bar ili uoe.. Aisee JF kuna ufisadi wa bongo za watu. Haya kila la heri.

Blaza dunia ina rangi nyingi zen if ure in Rome act like Romans...pia we dare to speak openly as liberal.. Zen hii Tabia ni moja ya matokeo ya pombe...sory to disturb
 
Back
Top Bottom