Raha ya kutongoza na kutongozwa

Raha ya kutongoza na kutongozwa

Wa siku hizi wamesha anza mapema mapenzi ,tena na wengi tofauti tofauti sura za wanaume zimezoeleka,tena kiutupu wamesha ziona nyingi ukimuhitaji hatakuangalia kama kamera ya getini.Sasa hivi haki sawa.Hata walio oana inabidi wachague nani awe na madaraka katika nyumba hiyo kati ya Mme na Mke.
 
M nmezoea kuuliza kulala sh ngapi.... najibiwa laki mbili... wengne dola naamsha freshhh
 
daa we kaka kabila gan.maana una maneno khaa
Sipendi kuulizwa kabila gani naona kama unataka kunibagua ,nyerere alinifundisha kuepuka ukabila ,mi mpole tu,mcheshi,msikilizaji ,alafu napenda kununa !
 
Napenda iwe sehem tulivu sana halaf awe ananisikiliza kwa umakin kama kuna kagiza kidogo inakuwa poa sana
 
Kama hujawahi kutongoza basi jua una kasoro na kama hujawahi kutongozwa basi jua umepungua !
 
Hizo za chini ya miaka 20, nakumbuka enzi hizo unamtongoza binti, yeye anainama chini huku anakula kucha au anachuma majani na kuyachezea, huku akitoa harufu fulani ya kikwapa.
Siku hizi ukiwa unatongoza mwanamke jicho kodo kodo uso kwa uso na mwanaume, usipokuwa jasiri unaweza kuinamisha kichwa chini, yaani hawana aibu kabisaaa!

haaaaaahaaaaaa
umenifanya nicheke mwenyewe mpaka watu wamenikodolea mijicho.
Aisee nimefurahi sana.
Enzi za mwalimu viongozi tu waliweza kununua body spray
 
ivi ukimsalimia mtu shikamoo akajibu- unataka kuninyima nn huwa ana maana gan?

Nimekutana na hii problem kama hii most of the time siku hizi najihami kuamkia watu, especially wanaume. Wengi wao wakisema hivi ujue wanakutamani na kukutaka , I think aaaaaaahhhhaaa, hebu wanaume tusaidiane Dada zenu kwa kutufafanulia, looh aaahhhaaaaaaaaa. Thanks.
 
Unamzeesha wakati ni saizi moja ,nakama kumnyima ,jamani mnajitoa akili kabisa hamuelewi unachoweza kumnyima mbona inaelekea ushamuelewa na umri ulionao lazima utakuwa umeshapata kwenye akili ,nahitaji jibu ukiulizwa au ukipewa jibu hilo wewe utajibu nini ?
 
Ulimwengu gani huo unaoishi wenye kuhitaji kutongozana...

Muda umebadilika sana, na hata style za matongozo zimebadilika maradufu
 
Mimi trafic wa kike akinikamata hata awe mmama namtongozea hapo hapo road. Hawaruki kwangu, nimekwisha wabamiza.
 
Unamzeesha wakati ni saizi moja ,nakama kumnyima ,jamani mnajitoa akili kabisa hamuelewi unachoweza kumnyima mbona inaelekea ushamuelewa na umri ulionao lazima utakuwa umeshapata kwenye akili ,nahitaji jibu ukiulizwa au ukipewa jibu hilo wewe utajibu nini ?

Kama yeye ni saizi yangu kwa nini alizaliwa before me lol uhuni tuu unawasumbua watu kama hawa. Halafu kingine wakikuambia Huku wanakutizama nyuma na kifuani ,wengi wao wanakutizama nyuma, hebu mwenye tabia hizi waziache, ni kujitia aibu na kujidharaulisha . Asante .
 
lazma uangalie mkia kama kondoo kanona au laaa, utanunua kondoo bila kuangalia mkia bhana, si utakuwa zezeta.
 
Mimi napenda nimbananishe kwenye simu kupitia sms or whatsap nikikutana naye uso kwa uso ni vitendo tuuuuuuuu
 
lazma uangalie mkia kama kondoo kanona au laaa, utanunua kondoo bila kuangalia mkia bhana, si utakuwa zezeta.

Na kwa nini ununue kondoo mwingine wakati tayari unaye nyumbani umemuacha, kama sio tamaa hiyo ndio hiyo tunasema michepuko. Ridhikeni na mlicho nacho ndugu. Kuna mmoja yuko eehee Mtoto umeumbika wewe kama sijui kitu gani, inaelekea mtamu sana, wewe , I'm like what the hell wrong with you , yaani kwa Kweli inaboa sana, its disgusting to me , it makes me sick very sick of my stomache , please watuheshimu ili na wao wapate kuheshimiwa back. Asante!
 
Back
Top Bottom