Raha ya kutongoza na kutongozwa

Raha ya kutongoza na kutongozwa

Siku hizi wanawake tunajitongesha whatsapp insta full kuvaa nguo za kuvutia ---- hips boobs! Lazma areply pasipo na swali!
Mnategeshah ! Ila kutongoza kuna raha zake,saa ingine unawahi sehemu flani unajua kama hapa lazima mdad yule atakatisha ,ila zile za psi psiiiii huwa siziwezi !
 
We tuma hela tuuuuu yaani zimwage tuuuuuuu vocha we mwaga tuuuuuuu shoping we mpeleke tuuuu!!!!Hapa hata abane vp ataleta papuchi magetoni tu na ikifika tafuna sana akamsimulie na shosti ake the shoti ake lazima ata jipendekeza na huyo nae kula tu kwa style ile ile.Achaneni na style za zilipendwa ki ukawa zaidi bhana!
 
mxyuuuuuuuuu nadhani ulikua mkali zaid ya huu...
Ila aliniteka maana sikushuka basi mpaka aliposhuka yeye na mimi nikashuka nikajua mpaka anapoingia alikuwa si wakawaida ,yaani akisimama huwezi kujua kaelekea wapi ,mwishowe ulikuwa mzuri tulizoeana sana ,siku ambayo nilikuwa na ahadi nae nilipata safari ya haraka kuelekea Mwanza na ikawa ndio mwisho hatukuonana tena na pale walihama ,labda akisoma hapa anaweza kukumbuka kwa vile mimi nipo hai naamini na yeye yupo hai.
 
Tatizo unatongoza changudoa kwa mwanamke anaejiheshina hawezi simama vichochoroni
 
Ila aliniteka maana sikushuka basi mpaka aliposhuka yeye na mimi nikashuka nikajua mpaka anapoingia alikuwa si wakawaida ,yaani akisimama huwezi kujua kaelekea wapi ,mwishowe ulikuwa mzuri tulizoeana sana ,siku ambayo nilikuwa na ahadi nae nilipata safari ya haraka kuelekea Mwanza na ikawa ndio mwisho hatukuonana tena na pale walihama ,labda akisoma hapa anaweza kukumbuka kwa vile mimi nipo hai naamini na yeye yupo hai.

ile musk imechangia... kuna jamaa yangu alidata kwa mdada mmoja wakati mdada alikua anabanja(koh koh!!!!!) Alianza kwa utani kamuuliza mdada baba yako anajua??? Aisee jamaa alichambwa kupitiliza... ila baadae wakazama penzini
 
Wanafunz dam moto asikwambie mtu mabek tatu hawana gharama ya salon
 
Siku hizi hakuna kutongozana
Hebu tieleze kivipi ,ni kubakana tu,maana sielewi kabisa ,inakuwaje hakuna kutongoza,usifananishe mambo ya maguest au madanguru ,itakuwa umejipotezea ,kutongoza kunataka moyo kweli ,mpaka uzoee na ujue njia za kuingilia na kutokea na kuanzia ,maana unaweza ukaambiwa ...ovyooooh...! kumbe hapo unatakiwa jitihada ndogo tu.
 
Tatizo unatongoza changudoa kwa mwanamke anaejiheshina hawezi simama vichochoroni
Aloo usifanye masikhala ,halafu machangu doa huwa hawatongozwi kwa maneno mengi ya kumtoa nyoka pangoni hawa kwa unyusi tu na mkonyezo wa nguvu basi unapata jibu la kuweka sawa nywele za kihindi ,hao wanaojiheshimu ni lazima timings na kujitenga ni lazima ili akusikilize tatizo lako kwake.
 
Hizo za chini ya miaka 20, nakumbuka enzi hizo unamtongoza binti, yeye anainama chini huku anakula kucha au anachuma majani na kuyachezea, huku akitoa harufu fulani ya kikwapa.
Siku hizi ukiwa unatongoza mwanamke jicho kodo kodo uso kwa uso na mwanaume, usipokuwa jasiri unaweza kuinamisha kichwa chini, yaani hawana aibu kabisaaa!

daah nimecheka hadi kupaliwa.sasa umkute binti ana jcho kubwa kalikaza.lazima uage kwenda msalan.au kunywa kunywa maj il upotezee tension yake
 
Hivi unapotongoza
unapendelea kuwepo sehemu gani na akina dada hapo mnapotongozwa
mnapendelea muwepo katika mazingira gani .

Kwa upande wangu mimi napendelea iwe kama tumejibanza ka kwa kona ivi
,au nyuma nyuma za nyumba na halafu mdada awe kama ameegeemea. wa
nainjoy ile mbaya na karbu mara zote naibuka kidedea.

Ila kila mtu na apendavyo ,sijui wengine mnapendelea iweje au kwenye
kuweka date kualikana chai kwa kimgahawa ni vipi yaani hebu tupeni elimu
zaidi !

boyz under age ni sheeeda
 
Kwa kweli nilichanganyikiwa na ile musk aliyoniachia ,nilitaka kujifuta ila nikaona niingie na kuweka gear hapo hapo kwa kumuuliza umejipaka mafuta gani ,nilijuta kumuuliza alitoa mshonyo kama kaona shetani.

daa we kaka kabila gan.maana una maneno khaa
 
Napenda_pale_nnapofikia_hatua_ya_kuforce_na_kumtia_huruma_demu...
Pale_huwa_najiona_nna_kipaji_cha_Sanaa_asee!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Napenda_pale_nnapofikia_hatua_ya_kuforce_na_kumtia_huruma_demu...
Pale_huwa_najiona_nna_kipaji_cha_Sanaa_asee!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mambo ya smart phone! hayo.
 
ivi ukimsalimia mtu shikamoo akajibu- unataka kuninyima nn huwa ana maana gan?

Yalinikuta hayo, nilienda kutembea mji fulani kijijini kidogo ,sasa baada ya kumaliza kulala mchana nikatoka nje kuna yale majumba ya vijijini huwa na benchi la simenti kama kochi ,nimekaa hapo ,nilichezea shikamoo mpaka nikaondoka ,yaani anekatiza ukimtupia jicho anakupiga na shikamoo.

Maana iliyokuwepo kwa upande wangu naona kama anakuzuia uzimtongozhe ,anakuweka kama wewe ni mkubwa sana kiundani bila ya maelezo anakusimamisha na hatua zozote zile ,ila huwa unamjibu kitu gani akishakuuliza hivyo ?
 
Siri yangu Lol aaaahhhhaaaa. Asante kwa kutukumbusha mwaka 47. Thanks!
Dah nakukumbusha 1947 ,hapo ndio ulikuwa kigori leo ni 2014 ,hih ? kumbe kizere ,haya unafanya nini humu mmu mtumzima wewe ila mi huwa nawadondokea sana vizere vinakuwa na kauzoefu flaniflani hivi kwa luga ya kigeni wanakuwa na experience ,mambo hayapatikani kwa hawa tulionao !
 
Back
Top Bottom