Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Hivi unapotongoza unapendelea kuwepo sehemu gani na akina dada hapo mnapotongozwa mnapendelea muwepo katika mazingira gani.
Kwa upande wangu mimi napendelea iwe kama tumejibanza ka kwa kona ivi ,au nyuma nyuma za nyumba na halafu mdada awe kama ameegeemea. wa nainjoy ile mbaya na karbu mara zote naibuka kidedea.
Ila kila mtu na apendavyo ,sijui wengine mnapendelea iweje au kwenye kuweka date kualikana chai kwa kimgahawa ni vipi yaani hebu tupeni elimu zaidi.