Raha ya kupendwa

Kumbe hadi simba wanamahaba jaman!!!.......ukute hapo bebii kanuna so anabembelezwa
 
Wadudu wote wenye jinsia ya kiume hatari sana...check haka na kike kalivyorelax
 
Labda wasiojua kupendwa hao ndio hawapendeki....maana kuna watu wengine hawabebeki kama gunia la misumariπŸ™„πŸ™„

kwanini sasa usianzishe semina za wanawake wasiojua kupenda na kupendwa?
 
sasa mbona kama wote majike au sio upendo niliouelewa mimi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…