Huyo paka wa kizungu. Bongo paka kazi yake ni moja tu, kukamata panya. Akijichanganya kufanya blunder km hiyo ya kurelax kwenye sink, atachezea bakora za kutosha au atalala njaa siku hiyo!!
akitoka hapo anaenda kukaangiwa mayai....
Umeona e...Wanaishi kizungu.