Raha ya Kufumaniwa Kwenye Danguro

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
3,068
Reaction score
277
Mwanaume huyu wa nchini China amekuwa maarufu duniani kufuatia kusambazwa kwa picha zake online wakati akihatarisha maisha yake kwa kujaribu kushuka toka ghorofani akiwa uchi wa mnyama akiwakimbia polisi waliovamia danguro alilokuwa akijisevia uroda.
Mwanaume huyo alinaswa live akijaribu kushuka toka ghorofani kwa kuparamia mabomba na machuma yaliyojitokeza kwenye ghorofa hilo.

Mwanaume huyo akiwa uchi wa mnyama alikuwa akijaribu kuwatoroka polisi waliolivamia danguro ambalo mwanaume huyo alikuwa ndani akijisevia uroda toka kwa machangudoa.

Picha za tukio hilo zilipigwa kwa kutumia simu na mwanafunzi wa sekondari aliyekuwa akikatiza mitaa hiyo akienda kwa rafiki yake.

"Nilihofia nyeti zake zinaweza kuungua kutokana na msuguano wakati alipokuwa akishuka kwa kutumia bomba la maji taka lenye kutu", alisema mwanafunzi huyo.

Serikali ya China imeweka sheria kali za kutokomeza ukahaba ambapo miongoni mwa adhabu zinazotolewa ni adhabu ya kifo kwa mtu anayeuza wanawake kwaajili ya ukahaba.






Gonga linki chini kwa picha za tukio hilo.


NIFAHAMISHE news in photos .: Habari na picha :.
 
Duuuh!kufa kubaya bora ajinusuru pia iwe fundisho.
 
Life is full of adventure....sometimes it give life a meaning!! tehe tehe tehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…