Raha ya kitimoto

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,393
Reaction score
38,857
rahaya hotchair Ule na akabanga
Toa oda
 
30% discount for xmass wahiharaka
 
Bei mkuu na unapopatikana

Tuko pale kwa kakobe.

Ukifika Pitia mlango wa uwani utamkuta dada Remote hapo ana mashavu makubwa ka Analilia uhuru. Yeye atakumalizia kila kitu.

Masharti ya ununuzi.

Ni marufuku kutaja neno "Nguruwe".
Ukifika hapo ulizia "Sadaka ya bwana Ipo? Halafu ili tukutambue km wewe ni mwenzetu Njoo Bila Underwear km waumini wengine.

Bei ni poa lkn ili nyama yako Ibarikiwe mchango ni Lzm utoe.

Na usipotoa mchango basi nyama Hatuiombei na kuna uwezekano ukaambukizwa MAFUA YA NGURUWE PAPO HAPO..

Kwa Hivyo ili kuwa salama Toa tu hio elfu 50 ya sadaka.

Karibu sana. Na km Una Sister yyt Mlete pia Tumuombee bure.
 
Last edited by a moderator:
Aaaaah mate yamenidondoka

Mkuu kudondokwa na mate ni dalili mbaya sana.
jikakamaze kidogo. Huko ndiko tunaita "KULEGEA"!
Yaani denda Mwalala!.
Teh teh teh!

Hatari sana.
Nyani Ngabu akikuona wewe sasa hivi ataanza kukuregezea macho!
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahahaaaaaaa... Naona Remote kaamua kukuchokoza...
 
Hahahahahahaaaaaaa... Naona Remote kaamua kukuchokoza...

Tatizo lake Remote huyu mtoto sio rizki tena.
Eti akikasirika anaanza kutafuna kucha.
Dume zima Linapaka Rangi za kucha!
Silaha anayotembea nayo mfukoni ni Kungu! Akikasirika tu anatoa na kuanza kutafuna!

Teh teh teh!
Majitu km haya ni bora kuyageuza chakula ya Simba tu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kudondokwa na mate ni dalili mbaya sana.
jikakamaze kidogo. Huko ndiko tunaita "KULEGEA"!
Yaani denda Mwalala!.
Teh teh teh!

Hatari sana.
Nyani Ngabu akikuona wewe sasa hivi ataanza kukuregezea macho!
hii makitu matamu mkuu kushinda naniliu.......ngoja niagize nusu na ndizi 3.
 
Last edited by a moderator:
Tamuje...tena ikiwa rost ndo balaa..na tucastle lite twako tuwili aaa..raha ya dunia ndo hii
 
hii makitu matamu mkuu kushinda naniliu.......ngoja niagize nusu na ndizi 3.

We kula tu! Mbona hata Mavi Nyie mnakula?
Andiko linasema kula Mavi Ni Moja ya amri Ktk Biblia.
.na Km Umeweza kula Vinyesi Kila siku Nadhani nyama Ya Nguruwe kwako wewe lzm iwe tamu sana.
 
We kula tu! Mbona hata Mavi Nyie mnakula?
Andiko linasema kula Mavi Ni Moja ya amri Ktk Biblia.
.na Km Umeweza kula Vinyesi Kila siku Nadhani nyama Ya Nguruwe kwako wewe lzm iwe tamu sana.

?%$#@&#@???ጨቸጀተረኸኘዠቀጰفقثىك
 
We kula tu! Mbona hata Mavi Nyie mnakula?
Andiko linasema kula Mavi Ni Moja ya amri Ktk Biblia.
.na Km Umeweza kula Vinyesi Kila siku Nadhani nyama Ya Nguruwe kwako wewe lzm iwe tamu sana.

We kama sio chizi Ladha yote hii unaikataa
Hivi unaona rojo hilo na kitu dona kudadeki Mnyama ni mtamu acha kupotosha wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…