Raha sana ukiwa na pesa.

chiko mkunungu

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
729
645
Wakuuu habari zenu!!!mko poa aisee hii dunia ukijua unachokifanya raha sana ukijua umekuja duniani kwa ajiri ya nn utaenjoy sana sijawai ona nchi nzuri kuishi kama Tanzania maisha ninayoishi kama nipo ulaya vile yani elimu ya form six tuuu bac imenitosha asante Mungu kwa baraka hizi

#my mind is power .

[HASHTAG]#blessed[/HASHTAG] men

[HASHTAG]#mkunungu[/HASHTAG] jr...
 
to be honestly and frankly speaking pesa yangu mm ya halali na nimeitolea jasho that is y natamba....
 
Wakuuu habari zenu!!!mko poa aisee hii dunia ukijua unachokifanya raha sana ukijua umekuja duniani kwa ajiri ya nn utaenjoy sana sijawai ona nchi nzuri kuishi kama Tanzania maisha ninayoishi kama nipo ulaya vile yani elimu ya form six tuuu bac imenitosha asante Mungu kwa baraka hizi

#my mind is power .

[HASHTAG]#blessed[/HASHTAG] men

[HASHTAG]#mkunungu[/HASHTAG] jr...
Unasema hujawahi kuona nchi nzuri kama tanzania na hapo hapo unaifananisha na ulaya, vijana mnaambiwa msinywe pombe mchana wa jua kali hamsikii
 
Unasema hujawahi kuona nchi nzuri kama tanzania na hapo hapo unaifananisha na ulaya, vijana mnaambiwa msinywe pombe mchana wa jua kali hamsikii
Ww kweli jau ivi uzuri wa kitu c umetofautiana we unavyozani ulaya kuna raha zote ulaya kuna mbege ulaya kuna komoni ulaya kuna visheti ulaya kuna vitumbua ulaya kuna mandazi ulaya kuna kuna wanawake wenye big booty wenye shepu kama bongo ulaya maisha maraisi kama bongo mm nasema naishi kama ulaya it means pesa yangu imekizii kupita mahitaji yangu imezidii pesa yangu namanisha pesa yangu kubwa ukilinganisha na maitaji yangu mm ni madogo that iz y naishi kama niko ulaya mana na bakiwa na excess money ambayo aina kazi sasa kwanini nisijifananishe na mtu wa manton tu kwanza usuawai fika ulaya ww.......au unaongea tyuuu......
 
We ni msomi mkubwa sana yaan umefika form six......

Mwenzio nilivyofel darasa la nne ndipo nikaingia street kusaka pesa. Sasa nina pesa nyingi mpaka akina Magu wanaongea nami kwa heshima.
 
Wakuuu habari zenu!!!mko poa aisee hii dunia ukijua unachokifanya raha sana ukijua umekuja duniani kwa ajiri ya nn utaenjoy sana sijawai ona nchi nzuri kuishi kama Tanzania maisha ninayoishi kama nipo ulaya vile yani elimu ya form six tuuu bac imenitosha asante Mungu kwa baraka hizi

#my mind is power .

[HASHTAG]#blessed[/HASHTAG] men

[HASHTAG]#mkunungu[/HASHTAG] jr...

Wenye Pesa huwa hawajitapi au kujitangaza ovyo ovyo!!! Utakuwa umepiga viroba umejificha chocho, na jua hili la mchana lazima vimekulipua!!!
Tafuta hata supu ya kongoro opozee!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom