Raha na karaha za WhatsApp

Raha na karaha za WhatsApp

Ile kauli ya wanawake tunataka usawa ulishaisikia?

Usiseme ile kauli, Sema ile 'Kauli ya kijinga' inayoshikiwa bango na wazungu.
Mungu mwenyewe hakuwaumba wanadamu kwa usawa.
Wewe nani kusema tuko sawa? Usipotoke ndugu.
 
hii imenkumbusha yule mwanamke wa uganda kumpikia mumewe condom
 
Wengi wanavamia fani za watu bila kuhitimu. Huyo baba anitafute nimpatie nakala moja.
 

Attachments

  • 1422789574597.jpg
    1422789574597.jpg
    29.9 KB · Views: 401
Duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndio maana kuna watu wanakufuru na kusema wanawake ni Mashetani.
Ndio nini sasa hii?
Hata nikikukosea nini nikijua moja ya adhabu ulizonfanyia ni hii,
Lazima namimi nitengeneze Kichuri kwa Damu yako.
...mbavu zako.

Heri wewe mwenye roho nzuri hata ukimfumania mkeo utampeleka dubai kumfanyia shopping na kumpongeza!
 
Shost yako nayeee hee, ndio nini kumlisha mumewe mate na maudenda ya mbwa?
Kwani dudu ya mumewe ni sabuni kwamba itaisha?
Aaah amuweke tu chini waongee wasileteane magonjwa.
 
Hivyo inakuhusu nini kurusha picha ba kumpigia simu mke wa mtu kama huyo
 
Ndio maana kuna watu wanakufuru na kusema wanawake ni Mashetani.
Ndio nini sasa hii?
Hata nikikukosea nini nikijua moja ya adhabu ulizonfanyia ni hii,
Lazima namimi nitengeneze Kichuri kwa Damu yako.
...mbavu zako.

Ha hahaha ha utajuaje sasa
 
Ha hahaha ha utajuaje sasa

Nyie Mume Anauma Au Mke, Inapokuja Kwa Mwanamke Kumpiga Mume Huwez, Na Ukisema Ataishia Kuomba Samahan, Huyo Alichanganikiwa, Na Huo Ndo Ulikua Mwisho Wa Busara Zake Jaman, Akir Yake iliishia Hapo.
 
Lakini itabaki kuwa jamaa starehe kafanya na chakula kashiba
 
My kwani mate ya mbwa nilimbwata au bidada hasira ziliishia hapo????

Shost aliona amedhalilishwa sana, baada ya kuona mume wake amekula mate ya mbwa akaona hata yeye amemdhalilisha mumewe yes!
 
Back
Top Bottom