Sasa kwa hii thread unahitaji ushauri wa kitabibu? Au sijaelewa hususani uliondika kwa herufi kubwa? Peleka kwenye mahusiano........
Habari zenu wana jF.Bila kuchelewa ngoja niwasilishe tatizo langu.Nina mpenz wangu nampenda sana pia kutokana na usafi wake wa hali juu huwa ananifanya nijisikie hamu ya kushea nae mwili(kufanya) na huwa nasherekea sana coz ni mtamu sana tofauti na wasichana wengne ambao niliyekwishakuwa nae before.TATIZO LINAKUJA NI PALE NIKIAMKA KESHO YAKE YA SIKU AMBAYO TULIFANYA KICHWA KINANIUMA SANA NA HII hali ngeni kwangu.NISAIDIENI NICHUKUE HATUA GANI KUEPUKA tatizo hili ila NAMPENDA SANA.
Jini hilo.Habari zenu wana jF.Bila kuchelewa ngoja niwasilishe tatizo langu.Nina mpenz wangu nampenda sana pia kutokana na usafi wake wa hali juu huwa ananifanya nijisikie hamu ya kushea nae mwili(kufanya) na huwa nasherekea sana coz ni mtamu sana tofauti na wasichana wengne ambao niliyekwishakuwa nae before.TATIZO LINAKUJA NI PALE NIKIAMKA KESHO YAKE YA SIKU AMBAYO TULIFANYA KICHWA KINANIUMA SANA NA HII hali ngeni kwangu.NISAIDIENI NICHUKUE HATUA GANI KUEPUKA tatizo hili ila NAMPENDA SANA.
Hangover ya K.
Uwe unakwenda na panadol unapokuwa naye! ama jifunge madrip kabla ya mchezo manake uhusiano wake hapo labda unafiria sana namna ya kumhudumia kwenye mchezo hadi unaumiza kichwa!!!!!!jokee
Kichwa kipi chauma? fafanua.
OTIS.
Jamani kichwa ninachoumwa ni maumivu makali yaani huwa kama mtu ameamka na pombe kichwani
Ss hapo tutakushauri nn zaidi ya kukwambia umelogwa?Habari zenu wana jF.Bila kuchelewa ngoja niwasilishe tatizo langu.Nina mpenz wangu nampenda sana pia kutokana na usafi wake wa hali juu huwa ananifanya nijisikie hamu ya kushea nae mwili(kufanya) na huwa nasherekea sana coz ni mtamu sana tofauti na wasichana wengne ambao niliyekwishakuwa nae before.TATIZO LINAKUJA NI PALE NIKIAMKA KESHO YAKE YA SIKU AMBAYO TULIFANYA KICHWA KINANIUMA SANA NA HII hali ngeni kwangu.NISAIDIENI NICHUKUE HATUA GANI KUEPUKA tatizo hili ila NAMPENDA SANA.
Hujamwelewa....kichwa kipi maana viko viwili